Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,113 Reaction score 4,658 Nov 30, 2016 #1 Sikumbuki ni mwaka gani,MH TEMBA aliimba mwaka wa shetani na wala sijui aliwaza nini au kitu gani kilimsukuma je nawe ukitaka kuimba wimbo mwaka huu utauita mwaka wa.....?
Sikumbuki ni mwaka gani,MH TEMBA aliimba mwaka wa shetani na wala sijui aliwaza nini au kitu gani kilimsukuma je nawe ukitaka kuimba wimbo mwaka huu utauita mwaka wa.....?
miminimkulimaakachekasana JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 3,263 Reaction score 4,730 Dec 4, 2020 #2 utakuwa mwaka wa corona labda
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Dec 4, 2020 #3 post ya 2016
East Wind JF-Expert Member Joined Jun 17, 2020 Posts 2,783 Reaction score 6,058 Dec 4, 2020 #4 Mh Temba - Mwaka wa shetani Your browser is not able to play this audio.