Kwanini michuano ya CHAN Ilikosa msisimko?

Kwanini michuano ya CHAN Ilikosa msisimko?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo michuano ya Africa inavyozidi kupoteza umaarufu na kukosa msisimko.

Je, ni nini kimesababisha hali hii?
 
Tv za Afrika zinapaswa kuonesha michuano bila vizuizi. Wapenzi waweze kuona mashindano yetu kwa urahisi, itawavutia na kutia mwamko wa kufuatilia michuano. Pia kwa mwaka huu, muda wa kuanza mechi saa 4 - 5 usiku sio muda rafiki kwa watu wengi.
 
CAF wamekuwa wachumia tumbo zaidi yakuendeleza soka la africa.
 
Back
Top Bottom