Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Feb 5, 2018 #1 Kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo michuano ya Africa inavyozidi kupoteza umaarufu na kukosa msisimko. Je, ni nini kimesababisha hali hii?
Kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo michuano ya Africa inavyozidi kupoteza umaarufu na kukosa msisimko. Je, ni nini kimesababisha hali hii?
Akthoo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 1,001 Reaction score 1,021 Feb 5, 2018 #2 Tv za Afrika zinapaswa kuonesha michuano bila vizuizi. Wapenzi waweze kuona mashindano yetu kwa urahisi, itawavutia na kutia mwamko wa kufuatilia michuano. Pia kwa mwaka huu, muda wa kuanza mechi saa 4 - 5 usiku sio muda rafiki kwa watu wengi.
Tv za Afrika zinapaswa kuonesha michuano bila vizuizi. Wapenzi waweze kuona mashindano yetu kwa urahisi, itawavutia na kutia mwamko wa kufuatilia michuano. Pia kwa mwaka huu, muda wa kuanza mechi saa 4 - 5 usiku sio muda rafiki kwa watu wengi.
NIYOMBARE JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,718 Reaction score 4,228 Feb 5, 2018 #3 CAF wamekuwa wachumia tumbo zaidi yakuendeleza soka la africa.
DesertStorm JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 3,131 Reaction score 2,537 Feb 5, 2018 #4 Bujibuji said: Kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo michuano ya Africa inavyozidi kupoteza umaarufu na kukosa msisimko. Je, ni nini kimesababisha hali hii? Click to expand... Messi na Ronaldo wamesababisha yote.
Bujibuji said: Kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo michuano ya Africa inavyozidi kupoteza umaarufu na kukosa msisimko. Je, ni nini kimesababisha hali hii? Click to expand... Messi na Ronaldo wamesababisha yote.
D Dr Guitar tz JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 312 Reaction score 247 Feb 5, 2018 #5 Wee umeona hivyo Ni kwa sababu Taifa stars hawakuwepo