Kwanini michuano ya FIFA Confederation Cup haikufanyika?

bakundande jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2021
Posts
507
Reaction score
672
Habari za mda wadau na wapenzi wa michezo. Bila kupoteza muda niende kwenye mada yangu moja kwa moja

Michuano ya FIFA CONFEDERATION CUP ni michuano ambayo uhusisha mabingwa wa mabara kwa upande wa mataifa pamoja na taifa muandaaji wa konbe la dunia.

Kawaida hufanyika mwaka mmoja kabla ya kombe la dunia. Last time lilifanyika nchini urusi na lilihisisha nchi tofauti ambazo ni mwenyeji Urusi aliengia kama muandaaji wa konbe la dunia, Chile bingwa wa amerika kusini, Ujerumani bingwa mtetezi wa konbe la dunia 2014, Ureno bingwa ulaya pamoja na mataifa mengine ambayo ni mabingwa wa kila bara.

Swali langu ni kwanini michuano hii haijafanyika kuelekea nchini Qatar ambako kombe la dunia mwaka huu litafanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…