Kwanini mimi?

wambagusta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
2,825
Reaction score
2,292
Kwa ufupi mie ni mcheshi sana sometimes wananitoa mpaka akili mie nachukulia poa lakini Nikiamuwa kubadilika na nikawapotezea ! no salaamu no everything wanalalamika na hii imekuwa ata kwa ndugu zangu mpaka kwa girlfriend angu nikiona wanaleta dharau au ananiletea dharau nikipiteza tu wanalalamika
 
Sasa unataka ushauri/unataka usifiwe /upewe pole /unatafuta mtu mwenye tabia kama zako /tukuogope? Hujaeleweka
 
Kwa hiyo?
 
Huwezi kumridhisha kila mtu. Baki kuwa wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…