Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
Ndugu yangu wacha kulalamika. Kwa nini kila kitu mnahusisha siasa????Miradi kama ule wa uwanja wa ndege wa Songwe, barabara ya Tunduma Sumbawanga, hakika haina majibu.
Kama ni fedha zilikwisha tolewa lakini sijui zimeelekezwa wapi?
CCM hakika ina chuki sana na mkoa wetu huu.
Ndio maana wananchi wanakuwa na hasira na viongozi wa juu kiasi cha kuwazibia njia na kuwapiga kwa mawe.
Miradi kama ule wa uwanja wa ndege wa Songwe, barabara ya Tunduma Sumbawanga, hakika haina majibu.