Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Moja ya Jambo ambalo sikuwahi kulielewa wakati nipo TZ ni hili!
MD aliemaliza MUHAS na kwenda kufanya kazi Hospital za Wilaya , hardly kuwa na take home inayozidi laki 9 . The same MD aliyemaliza MUHAS akaenda MNH , take home yake inazidi 1M . Wote hawa wawili wapo level moja ya UDAKTARI wote ni general physician , or general nurse or general famacist!
Nurse anaefanya kazi tumbi na Nurse anaefanya kazi NIMR level ile ile, mmoja atalipwa laki 7 na mwingine atakuwa na take home ya 1.5 , wote walisoma MUHAS na wote wakaajiriwa kwa wakati mmoja na wote mishahara yao inatoka serikali kuu haijalishi ni taasisi au ni Hospital lakin wote ni watumishi wa Umma wenye level moja but taasisi tofauti
Mfamasia anaefanya kazi Hospital ya Wilaya ya Kigonsera huko Songea level ile ile , elimu ile ile , chuo kile kile…. na mwenzie alieajiriwa TMDA watakuwa na mishahara tofauti na benefit tofauti. Wa Kigonsera atalipwa take home ya laki 7 na wa TMDA atalipwa take home 2M.
Sasa hoja ya msingi Utumishi mtuambie, ni nini tofauti ya hawa wawili ya KIMSIMGI? NASISITIZA HAWA WATU WANAMADARAJA SAWASAWA ..LETS SAY WOTE WAMETOKA SHULE LEO NA KWENDA KUAJIRIWA TAASISI 2 TOFAUTI
kwanini hawa watu wawe na salary tofauti na benefits tofauti? Mmoja alipwe laki 7 mwingine 1.5M ……I don’t understand what does that mean ?
Je mnatumia vigezo gani?
Hivi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul the Innocent na Mkuu wa Mkoa Dar , Tabora?wanamishahara tofauti?
Je Waziri wa Afya anamshahara tofauti na Waziri wa elimu?
Kama Jibu ni hapana, kwanini Lower cadre of the same level wana differ ?
Au kosa na dhambi ni kuajiriwa Halmashauri na huyu mwingine blessing ni kuwa MOI?MNH TMDA TBS ?
Sina maana watu washushwe MISHAHARA hapana, namaqnisha STANDARDIZATION ya Mishahara ya watumishi ni LAZIMA. Wale wa chini nao waje juu, kuwe na standardization ya benefits pia.Kama hawa watalipwa Usafiri na communication allowance na food allowance basi na hawa walipwe…..si ni wote watumishi wa Umma? Wote wanitumikia serikali ile ile … sasa iweje watu wa ngazi moja wawe na salary tofauti chini ya Utumishi mmoja, nchi moja??
Why ?
Hili Utumishi mnatakiwa mfanye study kisha muje na STANDARDIZATION Ya mishara ya watumishi wote..nchi nzima. otherwise ni monkeys see monkeys do ….. shame
Dr Megalodon
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada