Kwanini mizani ya mapenzi hai-balance?

Kwanini mizani ya mapenzi hai-balance?

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Kuna wapenzi mliokutana mizani ya mapenzi iko sawa na mnashidana kupendana zaidi?

Imagine kuna mdada unampenda sana lakini yeye kama haelewi how deep you're au anaelewa ila anachukulia for granted.

Wakati huo huo, kuna mdada/wadada wanatamani sana kua na wewe, wanaonesha jitihada lakini we hunampango nao/hujawaelewa.

Kwanini hii mizani ya mapenzi inayumba yumba hivi?
 
Sababu binadamu wanatamaa ya vilivyo bora zaidi ya walivvyonavyo, hata hao wanaokutaka, wakikupata baada ya muda watatamani vya juu zaidi au vya tofauti.

Ila ni bora kupata anaekutaka wewe, hutatumia energy nyingi
 
Nikifika mbinguni nitaomba nionyeshwe source code ya hii kitu wanaita mapenzi
 
Kusubiri kupendwa ni mateso, we jipende mwenyewe jipe mapenzii ya dhati.. wanawake hawafai mkuu
 
Its a matter of perception, shida ya love inapingana na logic. Unaempenda hakupendi anakupenda unaona anakusumbua. The best approach ni kwenda unapo pendwa, mahali ambapo unapenda lakin huoni efforts umependa pasipo sahihi
 
Ukitaka kujua umebalance, utakuta mmoja anamuonyesha upendo kwa muda flani baadae anapunguza Then unakuta upande wa pili tena unahustle kwa namna flani... Hii hali itakua inatokea automatically inturn to the partner
 
Enyi wanaume wapendeni wake zenu na enyi wanawake waheshimuni waume zenu. Ishi humo hutateseka.
 
Jipende mwenyewe ndipo upende upendwapo na kwa kiasi. tu maana ukizidisha kiwango ni mahaba/utumwa.
 
Its a matter of perception, shida ya love inapingana na logic. Unaempenda hakupendi anakupenda unaona anakusumbua. The best approach ni kwenda unapo pendwa, mahali ambapo unapenda lakin huoni efforts umependa pasipo sahihi
Its a matter of perception, shida ya love inapingana na logic. Unaempenda hakupendi anakupenda unaona anakusumbua. The best approach ni kwenda unapo pendwa, mahali ambapo unapenda lakin huoni efforts umependa pasipo sahihi@
 
Kuna wapenzi mliokutana mizani ya mapenzi iko sawa na mnashidana kupendana zaidi?

Imagine kuna mdada unampenda sana lakini yeye kama haelewi how deep you're au anaelewa ila anachukulia for granted.

Wakati huo huo, kuna mdada/wadada wanatamani sana kua na wewe, wanaonesha jitihada lakini we hunampango nao/hujawaelewa.

Kwanini hii mizani ya mapenzi inayumba yumba hivi?
FB_IMG_1684763643012.jpg
 
Ukiona love haibalance ujue hakuna mwenye hela ktk hayo mahusiano. Tafuteni hela kwanza kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano.
 
Back
Top Bottom