Nikifika mbinguni nitaomba nionyeshwe source code ya hii kitu wanaita mapenzi
Its a matter of perception, shida ya love inapingana na logic. Unaempenda hakupendi anakupenda unaona anakusumbua. The best approach ni kwenda unapo pendwa, mahali ambapo unapenda lakin huoni efforts umependa pasipo sahihi@Its a matter of perception, shida ya love inapingana na logic. Unaempenda hakupendi anakupenda unaona anakusumbua. The best approach ni kwenda unapo pendwa, mahali ambapo unapenda lakin huoni efforts umependa pasipo sahihi
Kuna wapenzi mliokutana mizani ya mapenzi iko sawa na mnashidana kupendana zaidi?
Imagine kuna mdada unampenda sana lakini yeye kama haelewi how deep you're au anaelewa ila anachukulia for granted.
Wakati huo huo, kuna mdada/wadada wanatamani sana kua na wewe, wanaonesha jitihada lakini we hunampango nao/hujawaelewa.
Kwanini hii mizani ya mapenzi inayumba yumba hivi?
Kuna nn tena? Mapenz yote niliyokuonyesha laaziz π but ???Kusubiri kupendwa ni mateso, we jipende mwenyewe jipe mapenzii ya dhati.. wanawake hawafai mkuu
π«£π«£π«£ Jf hiii π€£π€£π€£Kuna nn tena? Mapenz yote niliyokuonyesha laaziz π but ???
π€π«£π«£π«£ Jf hiii π€£π€£π€£
sweetie ebu nipigie basi nime miss sauti yako πππ€