Kwanini mjusi akikatwa mkia bado anatembea?

Mkia humsaidia balance of body hasa akipanda milima.😊😅
Mitii nakudandia
 
Ndiyo, akiamini kwamba predator ataanza kula huo mkia then yeye atapata chance ya kumkwepa na kukimbia.
Hii ndo nimejua leo kama mjusi huwa anajikata mkia wake kwa kujihami/kujilinda
 
Somo zuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…