Sio Mkapa tu, hata akina Warioba na wana Mwlimu Nyerere Foundation hawahusiki kabisa kwa sababu hawana cha kuwaeleza wananchi kumsifia JK. Huenda ni kwa vile ameharibu uchumi wa nchi kabisaaaaaa
Sio Mkapa tu, hata akina Warioba na wana Mwlimu Nyerere Foundation hawahusiki kabisa kwa sababu hawana cha kuwaeleza wananchi kumsifia JK. Huenda ni kwa vile ameharibu uchumi wa nchi kabisaaaaaa
may b sababu 1 ni kua JK anafanya kampeni ni ya familia yake na pili ni kumkumbatia mlopokaji Makamba ktk cheo chake cha ukatibu mkuu. Conclusively hata kama angekuwepo ingekula kwao 2!!!!
Mwanzoni walimwambia aliingizwa madarakani na wanamtandao wake, sasa safari hii hataka kuingizwa madarakani na mtu mwingine yeyote zaidi ya wanafamilia yake kwani kulingana na yeye jk suala la uraisi ni la kifamilia zaidi na si la kichama. Sasa sijui na sera ni za kifamilia zaidi!!!