Kwanini Mkenya haweza kula na kunywa bila kuitaja Tanzania?

Wakenya mna roho mbaya wenyewe tu mnabaguana sijui kikuyu na mjaluo ,hiyo roho mbaya imejijenga hadi mnaanza kuchukia mataifa mengine ambayo hayana time na nyie ,jirekebisheni kwanza nyie ndio muangalie wengine ,mother fanta kabisa ww
 
Na nina wasiwasi hayo makabila mawili ndo haya humu wanaongea ujinga
 
Wakenya mna roho mbaya wenyewe tu mnabaguana sijui kikuyu na mjaluo ,hiyo roho mbaya imejijenga hadi mnaanza kuchukia mataifa mengine ambayo hayana time na nyie ,jirekebisheni kwanza nyie ndio muangalie wengine ,mother fanta kabisa ww
Kama vile chuki ya Dudu Baya kwa Wahaya🤔
 
Kama vile chuki ya Dudu Baya kwa Wahaya[emoji848]
Mtu mmoja kumchukia mtu mwengine ni kawaida kwanza yule dudu baya alikua anamchkia ruge kwa maslahi yao binafsi hata hivyo ameshaomba msamaha kwa kosa alilofanya. tatizo kwenu kabila moja kubwa liwachukia kabila jingine kubwa, huoni Kama kuna tatizo, toa boriti kweye jicho lako Kisha ndo utoe kwa mwingine
 
Unasema upuzi gani, uchumi wa dollar bilioni mia moja ndio umejichokea?
Bilioni mia moja ipo wapi Tony254, acha kujiaibisha, hata kukarabati reli ya zamani mnaomba mkopo, kazi ya hiyo bilioni mia moja ni IPI?
1) Tunajenga SGR $3.9B
2)Rufiji dam $3B
3) Dar - Kibaha Super high way $180M
4)ATCL planes $800M
Just few to mention, huo ndio maana ya uchumi mkubwa, sio theoretic economy.
 
Alafu wanataka chuki zao wazivukishe border
 
Zote kwa mkopo
 
Katiba tunatumia ya mwingereza sasa in demokrasia IPI iliyoendelea huko kwenu
[emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…