mtu hupiga simu ili kujiridhisha tu lakini muda mwingine inasaidia kupata simu au hata laini zako. nilishadondosha simu ikiwa na 5k kwenye kava lake basi jamaa alieokota akakaa na simu mpka nilipopiga akaniambia nimeokota simu na 5k sasa hoi 5k nimetumia kula chips ikabidi nicheke tukaanza kupatana sasa laini aweke wapi ntakapozipata na kweli kwenda hapo nikakuta laini na memory card ila niliumia sana kupoteza simu na ajabu jamaa alikua ananiambia kama vipi nipe na password yako nifute kila kitu nitumie simu kama utani ila akikua serious sikumpa ila naamini alikwemda kuiflash akaitumia vizur tu...
pia nimeshaokota simu ya demu na mwishoe akaliwa kimasihara...
nimeshaokota simu nikaoga matusi na nilikua na nia ya kumrudishia ila naona alipiga atukane machungu yapungue.