Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sasa laini inatolewaje? Hiyo laini si inatumika kuwasiliana na watu wako kuwaambia umepata ajali watume hela upelekwe hospitaliVipi uwa tunakusumbua sana? Tutaacha mkuu. Na wewe uwe unatoa laini mapema sasa.
Hii nayo ni Maada? Hii Forum imevamiwa sana na sioni mwisho mzuri, kwamba ni geater thinker kaumiza kichwa kuja na post ya aina hiiMtu labda ulikuwa zako kwenye usafiri wa umma, ukaibiwa simu yako. Au hata nyumbani kwako watu wamevunja dirisha wamebeba simu.
Unakuta mtu yuko busy kujipigia, huwa mnataka kumwambia nini mwizi?
Duh yaani mnakabidhiana hadi line, wezi wa siku hizi hawana ethicsmtu hupiga simu ili kujiridhisha tu lakini muda mwingine inasaidia kupata simu au hata laini zako. nilishadondosha simu ikiwa na 5k kwenye kava lake basi jamaa alieokota akakaa na simu mpka nilipopiga akaniambia nimeokota simu na 5k sasa hoi 5k nimetumia kula chips ikabidi nicheke tukaanza kupatana sasa laini aweke wapi ntakapozipata na kweli kwenda hapo nikakuta laini na memory card ila niliumia sana kupoteza simu na ajabu jamaa alikua ananiambia kama vipi nipe na password yako nifute kila kitu nitumie simu kama utani ila akikua serious sikumpa ila naamini alikwemda kuiflash akaitumia vizur tu...
pia nimeshaokota simu ya demu na mwishoe akaliwa kimasihara...
nimeshaokota simu nikaoga matusi na nilikua na nia ya kumrudishia ila naona alipiga atukane machungu yapungue.
sasa ushadondosha simu na umepiga anakupa maelezo hayo unakataa? bora upate line zako simu zipo tu na yeye anaelewa kupoteza laini ni gaharama zaidi ya simu mimi mwenyewe nilishukuru kuzikuta hapo ila 5k na simu vilienda bila hurumaDuh yaani mnakabidhiana hadi line, wezi wa siku hizi hawana ethics