Kwanini mkishapata madaraka hamjali tena?

Kwanini mkishapata madaraka hamjali tena?

Milazetu

Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
32
Reaction score
22
Mimi nilipokuwa mdogo ilipotokea pasipokusudi nimemuumiza mwenzangu nilikiwa naumia sana namwomba radhi na ilipotakiwa msaada za zaidi wa huduma ya jeraha lake nilimpeleka kwao kwa huruma.

Lakini viongozi wa serikali mnapopata madaraka kwanini mnakuwa hamna huruma?

Watu wanajeruhiwa,kupotea na hamjali kabisa kuhusu damu za watu ni ukatili wa kiwango cha juu sana.

Hayo madaraka mwisho wako nini?Ogopeni hata tone la damu ya mtu.Kuweni makini na ulevi wa madaraka naumia sana.
 
Serikali ya Rais Samia ni serikali ya huruma ,upendo , unyenyekevu na yenye uchungu na Maisha ya watu. Ndio maana haipendi kuona mtanzania akiteseka wala kupata shida na taabu.
 
Back
Top Bottom