Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Ninasikita sana kuona nchi yetu ikiendelea kunajisiwa na watu wachache wasio waadilifu na wenye tamaa ya mali na utajiri wa haraka na mbaya zaidi wanatumia jasho la walipakodi. Ni aibu kwa kiongozi wa umma kushiriki vitendo vya wizi wa mali za umma ulizoapa kuzilinda kwa maslahi ya nchi. Kuna watu wanalipwa mishahara mizuri lakini hawaridhiki na wanafanya vitendo vya aibu sana.
Zaidi ya hayo nasikitika kuona kuna watu kwa namna moja au nyingine wanapanga kumkwamisha Rais wetu. Tuna Rais msikivu na mfuatiliaji, wote wenye tabia hizo atawashughulikia kimya.
Zaidi ya hayo nasikitika kuona kuna watu kwa namna moja au nyingine wanapanga kumkwamisha Rais wetu. Tuna Rais msikivu na mfuatiliaji, wote wenye tabia hizo atawashughulikia kimya.