Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Hapo ndipo tunapaswa kujua umuhimu wa viongozi waliopewa mamlaka na wananchi au watumishi wahusike kuchavua wakurugenzi maana hawa wakuteuliwa nadhani wengine .hawana sifa bali wanalipana fadhila hivyo matatizo ni.mengiNinasikita sana kuona nchi yetu ikiendelea kunajisiwa na watu wachache wasio waadilifu na wenye tamaa ya mali na utajiri wa haraka na mbaya zaidi wanatumia jasho la walipakodi. Ni aibu kwa kiongozi wa umma kushiriki vitendo vya wizi wa mali za umma ulizoapa kuzilinda kwa maslahi ya nchi. Kuna watu wanalipwa mishahara mizuri lakini hawaridhiki na wanafanya vitendo vya aibu sana.
Zaidi ya hayo nasikitika kuona kuna watu kwa namna moja au nyingine wanapanga kumkwamisha Rais wetu. Tuna Rais msikivu na mfuatiliaji, wote wenye tabia hizo atawashughulikia kimya.
Wizi ni tabia sio njaa
Yafaa kwa umoja wetu ,tujiulize shida iko wapi.Ninasikita sana kuona nchi yetu ikiendelea kunajisiwa na watu wachache wasio waadilifu na wenye tamaa ya mali na utajiri wa haraka na mbaya zaidi wanatumia jasho la walipakodi. Ni aibu kwa kiongozi wa umma kushiriki vitendo vya wizi wa mali za umma ulizoapa kuzilinda kwa maslahi ya nchi. Kuna watu wanalipwa mishahara mizuri lakini hawaridhiki na wanafanya vitendo vya aibu sana.
Zaidi ya hayo nasikitika kuona kuna watu kwa namna moja au nyingine wanapanga kumkwamisha Rais wetu. Tuna Rais msikivu na mfuatiliaji, wote wenye tabia hizo atawashughulikia kimya.
Ni tabia ya mtu, kwa nini mawaziri kipindi cha mkapa, JK waliweka mikataba ya ovyo kwenye madini wapate 10%, au shares kwenye kampuni hizo licha ya kuwa na ukwasi wa pesa za kutosha, akina chenge, msabaha, JK mwenyewe, kalamagi, lowasa, Yona, mramba, ngereja, etc.Ninasikita sana kuona nchi yetu ikiendelea kunajisiwa na watu wachache wasio waadilifu na wenye tamaa ya mali na utajiri wa haraka na mbaya zaidi wanatumia jasho la walipakodi. Ni aibu kwa kiongozi wa umma kushiriki vitendo vya wizi wa mali za umma ulizoapa kuzilinda kwa maslahi ya nchi. Kuna watu wanalipwa mishahara mizuri lakini hawaridhiki na wanafanya vitendo vya aibu sana.
Zaidi ya hayo nasikitika kuona kuna watu kwa namna moja au nyingine wanapanga kumkwamisha Rais wetu. Tuna Rais msikivu na mfuatiliaji, wote wenye tabia hizo atawashughulikia kimya.
Kuna wizi zaidi ya kula ruzuku za chama kweli?Magufuli ndo aliwafundisha ccm wote
Absolutely true😁Wizi ni tabia sio njaa