Kwanini mkurugenzi mkuu mpya WA EWURA tangia ateuliwe kwanini mafuta yamekuwa yanafichwa hapa nchini?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Tangia mme WA TULIA Acksobi kuteuliwa kuwa mkurugenzi WA EWURA sakata la mafuta limekuwa Shida.Je kwanini Bunge lismuazimie nlmkurugenzi husika kuondolewa Kwenye nafasi huska
 
Kuna kipindi bunge lilitaka kupeleka hoja kuhusu EWURA wife akaizima.
 
Back
Top Bottom