Kwanini Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Ulijadili Jina la Mgombea Urais Bila Agenda Rasmi kutoka Kamati Kuu na Halmashauri Kuu za CCM!

Asante kwa elimu
Elimu kubwa Sana👍
 
Asante kwa elimu
 
Kuna mtu kanyolewa na kichupa jana tena bila maji wala sabuni kwasababu ya suala hili
 
CCM ni chama cha hovyo
 
Nani wa kufanya hivyo...maCCM ni kama mbwa wa sokoni....
 
CCM kwa sasa ni kama kikongwe ambae yupo ICU figo, mapafu, ini, moyo, vimeshafeli lakini mgonjwa huyu kwa stori ametisha anadai hana shida yoyote yu bukher wa afya lakini Dr. Malisa ndio ameshikilia stop watch
 
Ni majangili ya mali za umma
 
CCM kwa sasa ni kama kikongwe ambae yupo ICU figo, mapafu, ini, moyo, vimeshafeli lakini mgonjwa huyu kwa stori ametisha anadai hana shida yoyote yu bukher wa afya lakini Dr. Malisa ndio ameshikilia stop watch
Hatari sn
 
Imelazimishwa na Kikwete period,sijui ni shukurani za uwaziri wa mwanaye au nini.
Dunia inaenda kasi miaka michache Bashite alimtangangaza Ridhiwani ni muuza sembe leo ni waziri
 
Imelazimishwa na Kikwete period,sijui ni shukurani za uwaziri wa mwanaye au nini.
Dunia inaenda kasi miaka michache Bashite alimtangangaza Ridhiwani ni muuza sembe leo ni waziri
Mstaafu amekataa kustaafu !
Imeisha hiyo. !
Na 2030 yumo tena mkutanoni Idodomya kutoa nasaha zake za Uteuzi 🤣🤣🤣 !
 
Kwa akili ya kawaida tu SSH hawezi kuwekwa kwenye mchakato wa uchaguzi huru akashinda, ndio maana imebidi nguvu itumike. SSH is very incompetent.
Huyu mama hata angegombea nafasi ya udiwani katika kata yake na uchaguzi ukawa huru hashindi!! Na wasaidizi wake wanajua sana hilo! Lakini kutokana na maslahi wanayopata kutokana na udhaifu wake, wanaona bora waendelee kuwa naye ili waendelee kufaidika!
 
CCM wakishapitisha mgombea wa Uraisi huyo ndiye Raisi sasa wewe pinga uone cha mtema kuni
 
"Mchakato huu umebuniwa kuhakikisha kuwa mgombea wa CCM anateuliwa kwa kufuata
misingi ya uwazi, ushindani wa haki, na maslahi ya chama na taifa kwa ujumla"

Tulianza na "fomu moja tu" na michango kedekede ya kuchukulia fomu, hatimaye tukaibuka na "azimio"..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…