dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,423
- 1,987
Ni muimbaji wa kike ambae amewahi kupamba vyombo vya habari akidai kuzaa na msanii wa kufokafoka Mtunzi na kinara wa tungo iliyoleta gumzo na mshikemshike Nchini ya 'Wapo'.
Huyu dada alikuwa akidai ya kuwa baba wa mtoto (Yaani N) katelekeza damu yake,
Ilipoishia sakata hilo wanajua wenyewe.
Kikichonileta hapa ni clip inayosambaa,
Inafadhaisha sana aisee.
Anaonekana mtu akimhoji huyu dada,
Nanukuu:
"Kwanini wewe na 'N' mliachana?
Binti : "Kwanini Mimi na N tumeachana?
..Ana Kibamia,-Asanteni"
Mwisho wa kunukuu.
Mkavu kabisa.
Najiuliza huyu dada anayo matatizo au ni akili ya kawaida tu hii?
Sitaki na siwezi kuingilia mambo yao Ila ni jambo la kushangaza.
Tuchukulie kweli kwamba mbabe Yule anacho 'kibamia' lakini itamsaidia nini huyu dada Dunia ikilijua hili?
Wanawake mungu awasaidie.