Kwanini mmechana? "Ana Kibamia" Huyu dada mzima kweli?

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,423
Reaction score
1,987
Ni muimbaji wa kike ambae amewahi kupamba vyombo vya habari akidai kuzaa na msanii wa kufokafoka Mtunzi na kinara wa tungo iliyoleta gumzo na mshikemshike Nchini ya 'Wapo'.

Huyu dada alikuwa akidai ya kuwa baba wa mtoto (Yaani N) katelekeza damu yake,
Ilipoishia sakata hilo wanajua wenyewe.

Kikichonileta hapa ni clip inayosambaa,
Inafadhaisha sana aisee.

Anaonekana mtu akimhoji huyu dada,

Nanukuu:
"Kwanini wewe na 'N' mliachana?
Binti : "Kwanini Mimi na N tumeachana?
..Ana Kibamia,-Asanteni"
Mwisho wa kunukuu.

Mkavu kabisa.

Najiuliza huyu dada anayo matatizo au ni akili ya kawaida tu hii?

Sitaki na siwezi kuingilia mambo yao Ila ni jambo la kushangaza.

Tuchukulie kweli kwamba mbabe Yule anacho 'kibamia' lakini itamsaidia nini huyu dada Dunia ikilijua hili?

Wanawake mungu awasaidie.
 
Kwani wewe mkuu inakuuma nini
Kibamia si ni kiungo cha mwili? Kwani leo ndo mara yako ya kwanza kusikia kibamia? Alafu tambua wadada wote wa mjin ukiachana naye anakutangaza kuwa unakibamia


Siku nyingine ukileta story hapa jukwaan weka majina yote ya wahusika na picha kabisa hili ni jukwaa huru na habar bila picha hainog hata kidogo
 
Kama ana kibamia,kwaiyo asiseme?
 
Silazimiki kufanya upendavyo wewe,
Kama vipi wrka hizo picha wewe,
Taja hayo majina na kama haikupendezi,
Ndio nimeshafanya.
 
Kama ana kibamia,kwaiyo asiseme?
Kabla hamjaingia rasmi kwenye ndoa Huwa kunakuwa Na Pre season matches,sasa huo Msimu wa kujipima nguvu Kibamia Huwa hakionekani? Ila hili tatizo lipo sana kwa wadada wanaochanganya sana wanaume.Kwa vile anakutana Na saizi tofauti lazima saizi Moja aone ni kibamia japo mwanzo hakuiona kama Kibamia
 
Hoja yako inazo chembe za mashiko.
 
Reactions: ZDB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…