Hakika umenena mkuu.
Kuna mhindi aliweka video ina kichwa cha habari The ultimate guide to have 1 million views per day. Leo ni mwaka wa 4 video yake mwenyewe ina views 400 hivi sasa sijui kwanini hatumii hizo njia zakesasa mtu unakuja na maelezo meengi.
namna ya kufanya simu yako itunze charge,halafu mwishoni unasema punguza mwanga wa kioo chako[emoji3064][emoji3064][emoji3064].
kweli hilo kuna mtu hajui??
Jambo kubwa na la msingi ukitaka mbongo akupe support, usioneshe kuwa utapata faida.Utasikia sema unataka viewers, hivi ukikaa kimya unapata shida gani?
Watu wanapambana wapate pesa ya kula wewe unaponda, vipi kama angekuwa ndugu yako unaemfahamu ungenena hivyo?
Wacheni watu wapambane na hali zao maana hujui wanayopitia.
Nb: acheni majungu
Fang rekebisha title kwenye neno la kiingereza
Uko sawa kabisa yani ukionyesha kuwa kuna ela utapaa mbongo ananuna ila kama ni mtu wa nje wala hatonuna.Jambo kubwa na la msingi ukitaka mbongo akupe support, usioneshe kuwa utapata faida.
Laiti kama YouTube kusingekuwa na pesa wala usingeona hizo kauli.
kitu nimejifunza kuhusu haya maisha,hakuna shortcut aisee lazima uumize mwili au akili,yaani kimoja lazima kisuguliwe ndipo utoboe.Kuna mhindi aliweka video ina kichwa cha habari The ultimate guide to have 1 million views per day. Leo ni mwaka wa 4 video yake mwenyewe ina views 400 hivi sasa sijui kwanini hatumii hizo njia zake
muangalie bw mdogo snashtz,yeye ameanza kwa namna ya tofauti kabisa,elimu kuhusu mswala ya tech hasa electronics nk,anatakiwa akaze buti soon ataanza kuona mteremko.ingawa hana youtube channel.Jambo kubwa na la msingi ukitaka mbongo akupe support, usioneshe kuwa utapata faida.
Laiti kama YouTube kusingekuwa na pesa wala usingeona hizo kauli.
MKBH na Mrwhosetheboss story zao zinaani inspire sanakitu nimejifunza kuhusu haya maisha,hakuna shortcut aisee lazima uumize mwili au akili,yaani kimoja lazima kisuguliwe ndipo utoboe.
mimi ni watu wa kwanza kwanza kuwaona youtuber,supercarblondie na ijustine,walivyoanza kwakweli utajua hakuna safari ndogo.mpaka leo hii kampuni zinawafata kuwapa kazi ya kureview products zao kwa mara ya kwanza,sio poa.
HELLOKuna mhindi aliweka video ina kichwa cha habari The ultimate guide to have 1 million views per day. Leo ni mwaka wa 4 video yake mwenyewe ina views 400 hivi sasa sijui kwanini hatumii hizo njia zake
And vice versa is trueJambo kubwa na la msingi ukitaka mbongo akupe support, usioneshe kuwa utapata faida.
Laiti kama YouTube kusingekuwa na pesa wala usingeona hizo kauli.