johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hadi leo wabunge watatu Mh. Lwakatare, Mh. Silinde na Mh. Lijualikali wameshalalamika mbele ya bunge na vyombo vya habari kwamba hawajapewa barua na chama chao kuwaelezea maamuzi ya kikao cha kamati kuu.
Wajibu wa kuwaandikia barua hizo ni wa Katibu Mkuu mh John Mnyika lakini amesita kufanya hivyo, hii inashangaza.
Mnyika anaogopa nini kuwaandikia barua za kuwaeleza hatua za nidhamu walizochukuliwa wabunge hawa?
Au na yeye yuko njia moja?
Maendeleo hayana vyama!