johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yule nadhani hata kule gerezani uwezekano wa wajuba waliisulubisha Mini Kabang yake upo aisee,sio kwa kulia kizembe vile.Mwanaume unalia aisee
Savimbi umeshapanic!Kama unaona anachelewa waandikie wewe mkuu.
Una uhakika gani kama hawajaandikiwa? Je ulijua kwamba JJM aliandika barua kwa spika? Je asingeisoma ungelijua hilo? Hao Mazuzu kina silinde na lijuakali hata kama wameandikiwa si wanaweza kuropoka kwamba hawajapewa barua?Savimbi umeshapanic!
Ok.Una uhakika gani kama hawajaandikiwa? Je ulijua kwamba JJM aliandika barua kwa spika? Je asingeisoma ungelijua hilo? Hao Mazuzu kina silinde na lijuakali hata kama wameandikiwa si wanaweza kuropoka kwamba hawajapewa barua? Chadema washamalizana nao watu wapo busy kuhusu Oct 2020 achaneni nayo hayo maUTOPOLO yaliyofika bei.
Kwako Mwalimu Kashasha.
Yule nadhani hata kule gerezani uwezekano wa wajuba waliisulubisha Mini Kabang yake upo aisee,sio kwa kulia kizembe vile.
Hadi leo wabunge watatu Mh. Lwakatare, Mh. Silinde na Mh. Lijualikali wameshalalamika mbele ya bunge na vyombo vya habari kwamba hawajapewa barua na chama chao kuwaelezea maamuzi ya kikao cha kamati kuu.
Wajibu wa kuwaandikia barua hizo ni wa Katibu Mkuu mh John Mnyika lakini amesita kufanya hivyo, hii inashangaza.
Mnyika anaogopa nini kuwaandikia barua za kuwaeleza hatua za nidhamu walizochukuliwa wabunge hawa?
Au na yeye yuko njia moja?
Maendeleo hayana vyama!
Mwanaume unalia aisee
johnthebaptist,
Kama unaona anachelewa waandikie wewe mkuu.
Huyu akilala anaiota cdmMwanaume unalia aisee
Waandikie au njoo ufipa upewe taarifa kamiliSavimbi umeshapanic!
Wamepuuzwa tu,awaandikie ili iweje?Hadi leo wabunge watatu Mh. Lwakatare, Mh. Silinde na Mh. Lijualikali wameshalalamika mbele ya bunge na vyombo vya habari kwamba hawajapewa barua na chama chao kuwaelezea maamuzi ya kikao cha kamati kuu.
Wajibu wa kuwaandikia barua hizo ni wa Katibu Mkuu mh John Mnyika lakini amesita kufanya hivyo, hii inashangaza.
Mnyika anaogopa nini kuwaandikia barua za kuwaeleza hatua za nidhamu walizochukuliwa wabunge hawa?
Au na yeye yuko njia moja?
Maendeleo hayana vyama!
Lwskatare amedai hadi leo hamjampa barua ya kumtimus.