JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Billionea kijana zaidi Africa mwenye miaka 46 MO, sielewi kwa nini kila nikimuona anavaa smartwatch za kopy za kichina za Apple Watch badala ya original smartwatch za Apple.
Kwa mfano kuna picha kaweka Instagram kavaa smart watch ya kichina ambayo ni copy ya apple watch yenye brand ya kichina ya fitbit ambayo huuzwa kwa bei ya 150k TSH, tofauti na original Apple Watch ambayo huuzwa kati ya 1.5 million. TSH.