Kwanini MO avae saa copy za Apple Watch?

Aisee umesema Fitbit ni copy ya kichina ya apple watch ?
 
Siyo copy ya apple watch bali ni brand ya fitbit. Huenda ana sababu zake za kupenda fitbit kuliko apple watch.
 
huyo jamaa ana maisha ya kivyake,ukiona Tv anayotumia hata yangu ni nzuri na ya bei zaidi ya yake,ana li sumsung la zamani sana
kwa kifupi anaishi maisha ya kawaida sana ,hana vitu vya kuendana na pesa yake,sisi masikini ndio tunapenda vitu vizuri
 
Ok hata billion 20 katoa cheki hewa. Ila endelea.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Ila we jamaa, Fitbit wapo zamani na wanatengeneza hizo saa, Apple watch za juzi tu.

Na Fitbit kama jina lilivyo ni za watu wa mazoezi, taja superstar yoyote Ronaldo, Messi na wengineo wanatumia Fitbit.
 
umeshaanza kudai bilioni 20, sio saa tena? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kweli kuna watu na viatu!
mwamba kanishangaza sana huyoπŸ˜‚ mambo ya bilion 20 sijui yanahusiana nini na comment yangu
hii ndio wanasiasa wanaita kulishana maneno,anataka kunilisha maneno nionekane nina tatizo na "Muhamedi"
 
Kwan Mo ni nani asipigwe kitu copy? Ukute amenunua Milioni 2 ila ndio kupigwa mkuu hakuna rika.
 
Dah,yaani mo unataka aanze mambo ya kisuper star!tena
 
Bill Gates anavaa saa Aina ya Casio $70..Ila Makolo punguzeni kumtukana mtoa UziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila we jamaa, Fitbit wapo zamani na wanatengeneza hizo saa, Apple watch za juzi tu.

Na Fitbit kama jina lilivyo ni za watu wa mazoezi, taja superstar yoyote Ronaldo, Messi na wengineo wanatumia Fitbit.
Nilikuwa nasubiri Chief-Mkwawa na Mwl.RCT watie neno tufunge mjadala.
Akhsante mkuu Chief-Mkwawa kwa kutufungia mjadala wa masikini kumsema tajiri kwa muonekano na si kwa uhalisia.
 
Fake vs original ni mtazqmo tu, mfano wazungu wengi hawali kuku wa kienyeji, uliza mahoteleni wanaona hao sio kuku ni ndege pori tu...kuku wanawajua kuwa ni broiler.....wabongo wao kienyeji ndio wanaona og broiler wanaona fake, ni mazamo tu.

Hizi digital watch na fitness watch zipo za chapa nyingi tu na zote zinafanya kitu kile kile sasa kuona mtu amevaa brand tofauti eti ni fake nadhani si sawa....ni sawa na yule alieaminisha watu eti iphone 13 za tanzania ni fake??

Mtu akinunua kitu anaangalia matumizi yake na ubora suala la chapa ni suala jingine kabisa....
 
We jamaa kwanza umekula?
Mo ashindwe kununua saa ya dola 500.
Wakati anaweza kufungua duka la kuuza hiyo saa tena maduka nchi nzima.
 
Uko serious kabisa? Mwenzetu unayevaa original umeajiri watu wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…