Kwanini Moderators hawachangii mada?

wanachangia hasa ktk mada za memba wanao hitaji msaada ktk majukwaa.

LAKINI OIA INVISIBLE MIAKA YA NYUMA YEYE MWENYEWE ALIKUA AKIANZISHA MADA NA KUJIBU HOJA MBALIMBALI

il sababu kuu ni kutotaka kuonesha msimamo wao ktk mambo ya kisiasa uchumi kidini n.k ili wanapo shusha rungu la ban wasionekane wamependelea au kumwonea yeyote kama wangeweka misimamo yao waziwazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…