greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
So,blacks wana wapo vizuri kwenye Uhalifu wa madawa ya kulevya na michezo tu...?Hayo ndio maisha yao halisi, mpaka wafanikiwe wanapitia Mambo magumu Sana tofauti na huku bongo movie wanaonyesha vitu ambavyo Mara nyingi haviendani na uhalisia halisi wa watanzania.
Je,hii si inaweza ikawa ina aminisha hata Watoto kuwa mafanikio kwa Blacks yapo huko..tu.wao wanauza bidhaa kulingana na uhitaji wa mteja au hauwezi ukauza mchicha kwenye jamii inayotaka nyama labda uzamilie kuamisha akili za watu tu,kutoamini wasichokiamini pili wao hufanya research ya watu weusi wanahitaji nini,akili yao na wanavyowaza ndiyo na nyakati ndiyo maana hata wakati wa vita ya wenyewe kwa wenyewe movies nyingi zilikuwa ni agaist racism.
wamerekani weusi tabia zao kama wabongo tu,ndiyo utaona wazungu wengi wanawachukua wao kucheza video za xxxx wanawajua kuwa lazima afrika waje kushuhudia mbuzi wenzao.
Ni wengi ndio maisha yao Ila sanaa Kama muziki, uigizaji michezo ndio vinawafanya watoboe na kwa sababu wengi walipitia vipindi vigumu wakishapata pesa hawana nidhamu ya matumizi na wapambe wengi mwisho hufilisika.So,blacks wana wapo vizuri kwenye Uhalifu wa madawa ya kulevya na michezo tu...?
Vipi kuhusu Uchumi,biashara,Siasa Afya na Sayansi.
Ni kwa sababu weusi wengi wanaishi kwenye mitaa ya kimaskini, wengi hawapendi elimu na ni jamii zenye uhalifu mkubwa wa makundi. Kwa hiyo namna ya kusurvive kihalali kwao sio Option kubwa ndio wengi wanakimbia kuuza madawa na wanaobahatika kupata mtu wa kuwapush ndo wanatoka kwa vipaji kama muziki, basketball au American football.Mimi mtazamaji mkubwa wa Movies za Amerika,kwani nyingi zina hadith nzuri wenye kuburudisha na kuelemisha.
Ila kuna suala moja lanifikirisha sana.
Kuna hizi movies na series zenye maudhui ya kuwahimiza watu kutokukata tamaa na kupambana kujikwamua kiuchumi,,
kwanini
zikiwa ni za wamarekani weusi, basi lazima
1.Zijikite kwenye uuzaji wa madawa ya kulevya............. 70%
e.g Godfather of harlem,BMF,POWER,American Gangster
2.Masuala ya michezo ..........25%
e.g Remember the Titans,42,Blind side
Kwingine huko huwezi wakuta blacks.So,blacks wana wapo vizuri kwenye Uhalifu wa madawa ya kulevya na michezo tu...?
Vipi kuhusu Uchumi,biashara,Siasa Afya na Sayansi.
Hata Uchumi...?Kwingine huko huwezi wakuta blacks.
Sisi maisha ya kuumiza akili hatuwezi sijui sayansi, technology
Hivi ukiongelea vipaji kwetu sisi humaanisha ni mziki,kuigiza na michezo tu...?Ni kwa sababu weusi wengi wanaishi kwenye mitaa ya kimaskini, wengi hawapendi elimu na ni jamii zenye uhalifu mkubwa wa makundi. Kwa hiyo namna ya kusurvive kihalali kwao sio Option kubwa ndio wengi wanakimbia kuuza madawa na wanaobahatika kupata mtu wa kuwapush ndo wanatoka kwa vipaji kama muziki, basketball au American football.
Ila niwe muwazi sipendi kuangalia kazi zao kwa sababu hawana kingine cha ziada zaidi ya madawa ya kulevya, ushoga na michezo.
Movies na Series huwa zinasimulia hadithi za matukio ya maisha ya kila siku ya jamii fulani. Kutokana na ugumu wa maisha na kukosa fursa, biashara ya madawa ya kulevya ni sehemu kubwa ya maisha ya watu weusi, huo ndio ukweli. Ulitaka waonyeshe kwamba watu weusi wote wana maisha mazuri wakati sio uhalisia?Mimi mtazamaji mkubwa wa Movies za Amerika,kwani nyingi zina hadith nzuri wenye kuburudisha na kuelemisha.
Ila kuna suala moja lanifikirisha sana.
Kuna hizi movies na series zenye maudhui ya kuwahimiza watu kutokukata tamaa na kupambana kujikwamua kiuchumi,,
kwanini
zikiwa ni za wamarekani weusi, basi lazima
1.Zijikite kwenye uuzaji wa madawa ya kulevya............. 70%
e.g Godfather of harlem,BMF,POWER,American Gangster
2.Masuala ya michezo ..........25%
e.g Remember the Titans,42,Blind side
Sijapinga juu ya ugumu wa maisha...Movies na Series huwa zinasimulia hadithi za matukio ya maisha ya kila siku ya jamii fulani. Kutokana na ugumu wa maisha na kukosa fursa, biashara ya madawa ya kulevya ni sehemu kubwa ya maisha ya watu weusi, huo ndio ukweli. Ulitaka waonyeshe kwamba watu weusi wote wana maisha mazuri wakati sio uhalisia?
By the way, hizo series ulizotaja hapo (ukiacha Power) ni biography za drugs kingpins, Godfather of Harlem ni hadithi ya ukweli ya Bumpy Johnson, American Gangster ni story ya kweli ya Frank Lucas na BMF ni story ya ukweli ya Demetrius Flenory aka Big Meech.
Kuna movies na series nyingi tu zinazoonyesha black exellence mfano The Banker, Hidden Figures n.k. Pia series kama Love and Marriage zinaonyesha upande mwingine wa maisha ya watu weusi wa Marekani.
Sasa ushaambiwa sehemu kubwa ndio maisha yao kwa nini ushangae movies ku-potray mambo yanayotokea kwenye maisha ya watu weusi? Halafu mbona kuna movies nyingi tu za watu weusi hazi-potray drugs, uhalifu na sports? Labda kama huzifahamu. Mfano Boomerang, A Thin Line Between Love and Hate, How Stella Got Her Groove Back, John Q, Baby Boy, Two Can Play That Game, Deliver Us From Eva, What Women Want, Waiting To Exhale, Movies karibu zote za Kevin Hart, Movies karibu zote za Tyler Perry na nyingine nyingi tu.Sijapinga juu ya ugumu wa maisha...
Ila why asilimia kubwa ni za drugs na sports.
-Movies siyo lazima ziwe za maisha halisia, zinaweza kuwa fiction tu ambazo zikaja ku-inspire maisha ya kizazi kipya cha blacks.
-Godfather of Harlem ni biography, imetumia real life characters lakini majority of its stories ni fiction.
Soma notice wakati ikiwa inaanza.
Soma kichwa cha Thread vizuri...Sasa ushaambiwa sehemu kubwa ndio maisha yao kwa nini ushangae movies ku-potray mambo yanayotokea kwenye maisha ya watu weusi? Halafu mbona kuna movies nyingi tu za watu weusi hazi-potray drugs, uhalifu na sports? Labda kama huzifahamu. Mfano Boomerang, A Thin Line Between Love and Hate, How Stella Got Her Groove Back, John Q, Baby Boy, Two Can Play That Game, Deliver Us From Eva, What Women Want, Waiting To Exhale, Movies karibu zote za Kevin Hart, Movies karibu zote za Tyler Perry na nyingine nyingi tu.
Kuhusu GOH, biographies ni lazima ziwe na some fiction, kuna baadhi ya vitu ni lazima viongezwe for dramatic reasons, vinginevyo itakuwa documentary na sio movie.