Kwanini msemaji wa Club ya Simba anatangaza bidhaa za pinzani kibiashara? Inawezekana vipi?


Unahitaji kujifunza Company Law, atleast kwa introduction.
 
Hivi ninyi watu wa utopolo mbona mnateseka sana na Haji Manara?
 
Maji ya MO ni wazamini wa Simba iweje Manara akatangaze maji ya Uhai?

Exposure ni tatizo.

Jielimishe.

Umepewa mifano ya Nike kuidhamini Barca lakini Messi anadhaminiwa na Adidas.

Nakuongezea mwingine, LA Lakers wanadhaminiwa na maji ya Gotorade, ila LeBron James anadhaminiwa na maji aina ya Powerade.
 
Unahangaika na mapopoma ya utopolo shule ndogo kazi kulalamika tu kwa kila kitu hata kisichowahusu.

Wakati unajaribu kuelezea ujue una dili na watu wenye uwezo mdogo sana wa kuelewa mambo.
 
Ushauri wenu ni nini mnataka Haji afungue kampuni, blog, YouTube channel au nini hasa, kama anaongea mambo ya Simba kupitia same account na ishu binafsi pia kwa hio hio account, ajitafakari kama kisheria, kikanuni,kiutaratibu na miongozi ya kazi yake hasa mkataba na mipaka iwapo havikinzani
 
Hivi Kuna wenye mifano ya Milard Ayo kutangaza bidhaa au kampuni shindani na Clouds Media?
 
Kwahiyo tumkute mwanaccm anapost Mambo ya Chadema kwenye account Yake kisa ni account binafsi.


Unajua terms and conditions za mkataba kuhusu conflict of interest ?
Mfano MwanaChadema anamiliki Redio , CCM wakipeleka matangazo yao Radio ikatae?Radio ikikubali Chadema wanaweza kumchukulia Hatua kama Mwanachama wake?Hapo ukitafakari utaona kisheria hakuna shida.
 
Mfano MwanaChadema anamiliki Redio , CCM wakipeleka matangazo yao Radio ikatae?Radio ikikubali Chadema wanaweza kumchukulia Hatua kama Mwanachama wake?Hapo ukitafakari utaona kisheria hakuna shida.
Kawaambie Uhuru radio au channel ten wapokee matangazo ya Chadema uone utakavyojibiwa. Kama sio kunaswa vibao Hadi akili zikukae sawa maana hunielew hata unachoandika.
 
Kawaambie Uhuru radio au channel ten wapokee matangazo ya Chadema uone utakavyojibiwa. Kama sio kunaswa vibao Hadi akili zikukae sawa maana hunielew hata unachoandika.
Sasa ukiona issue za Haji zimetulia ndio ujue hakuna shida mkuu, shida IPO kwako wewe unayelazimisha.
 
Mfano Joti hapo alipo hawezi fanya kazi na Voda,Airtel,Smile,Smart au TCCL atabaki na tiGO hadi mkataba wake utakapoisha
Hapa ndio unazungumzia Conflict of interest halisi.Hili liko wazi.Kwa Kesi ya Haji, Azam Nazi sio mpinzani wa Simba Sports Club.Hivyo hakuna Conflicts of Interest.Haji ni Balozi wa Azam.Haji atatangaza bidhaa zote za Azam lakini hatotangaza Azam FC kwa vile Azam FC ni mpinzani wa Simba Sports Kibiashara.

Azam TV anatangaza Matangazo ya Simba, lakini Simba ni mpinzani wa Azam FC, na Mmiliki wa Azam FC na Azam TV ni Mmoja, hakuna shida sababu Azam TV sio Mshindani wa Simba Sports Club
 
Kwani kuna siku Azam FC imecheza na Timu inayoitwa MO Enterprises?

Tofautisha Kati ya Simba SC na Mo energy drink.

Tofautisha Kati ya Azam FC na Coconut.

Ova
Basi sawa,,

Ngoja tuendelee kuchochea kuni..
 
Kwahiyo Simba na Yanga zikatae mechi zao kuoneshwa na AZAM TV inayomilikiwa na Azam Media ambayo ni ndugu na Azam FC?
Je Simba na Yanga zikatae uzamini wa Azam Media?

Ujuaji wako utakupeleka kwenye Giza.
Jifunze kitofautisha kati ya jumlisha na msalaba.

Azam TV imeingia mkataba na vilabu vyote kuonyesha mechi zao za ligi ya Voda com...
Hawakuingia mkataba na timu yeyote kufanya matangazo ya Azam.

Kumbuka kutangaza biashara ni kitu kingine.

Na timu kuonyeshwa live ni kitu kingine,, japokuwa timu zinalipwa..
 
Mawakili uchwara ktk ubora wao.

Huhitaji kuwa wakili kujua basics za hivi vitu mkuu.

Ile intro tu ya kukujulisha kwamba kampuni ni separate entity kwa owner wake. Wenyewe wanasema it is a Person.

Pitia tu hata google, upate kujua hata kidogo.
 

Ebu pitia maelezo ya mkuu apo juu aliekupa tofauti naisi umekua mgumu kuelewa.

Ulishawai kupitia mkataba wa Haji Manara
Unavijua vipengele vilivyomo?

Unafikili Uongozi wa Timu hawalioni ili au Mo alioni hili ?

Basi kama wanaliona na wamempa Go ahead inamaana wanajua nini maana ya Brand...

Nikuulize swali
Ushirikiano wa Familia ya kusaga na Diamond katika biashara mpaka leo mbona haujaleta maelewano kati ya Clouds na Wasafi mgt?

Kufanya kazi na mtu fulani au kampuni fulani haimanishi unauza siri za muajili wako unajua maana ya usiri( Confidentality) ?

Naomba utofautishe
Brand na Maswala binafsi nje ya Mkataba wa ajira
 
Na nyongeza kama Haji anahujumu timu yenu basi pia ombeni mechi zenu zisioneshwe na Azam Tv maana uwa wanakaa na viongozi wenu kukubaliana wataihujumu timu yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…