Kwanini Msigwa ana ajira mbili? Moja Katibu Mkuu Wizara ya Habari nyingine Msemaji wa Serikali?

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Haya mambo yanafikirisha sana asee.

Why vijana wanqtendewa hivi? Sasa ni muda wa serikali kujitafakari.

Katika fukuto la ukosefu wa ajira Kuna mtu anakuja kusema vijana wasifikirie ajira za serikali pekee bali wajiajiri.

Mtu huyo ni msemaji wa serikali pia ni katibu mkuu wizara ya habari!
 
Ccm ndio vyanzo vya matatizo.mfano tokea kuwepo nyerere mpaka kizimkazi bado mzee anataka madaraka
 

Attachments

  • IMG_0612.jpeg
    21 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…