Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Sawa Biashara lakini Mitaa yote ina Biashara kwanini huu Mtaa uwe busy kiasi hicho Je kuna Biashara gani tofauti na Mitaa mingine?Duh!, itakuwa ni mambo ya biashara tu.
Unadhani kuna kitu kisichoonekana kinachokusanya watu mtaa wa Congo? may be, hii Pwani ina mambo yake.Sawa Biashara lakini Mitaa yote ina Biashara kwanini huu Mtaa uwe busy kiasi hicho Je kuna Biashara gani tofauti na Mitaa mingine?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app