asante dr trigeminalKwa watoto chini ya miaka mitatu misuli ya tako "gluteus" inakua bado haijadevelop vya kutosha hivyo sehemu nzuri kuchoma sindano ni msuli flani wa paja unaitwa "vastus lateralis" ambao ndo unakua na unene wa kutosha na fat hivyo kuzuia sindano isipitilize na kufikia mifupa , pia baada ya miezi sita hivi sehemu nyingine inayoweza kutumika ni sehemu ya juu ya mkono "deltoid muscle" na hapo ndipo ambapo chanjo nyingi huchomwa mf.tetanus. hivyo tako si salama kwa mtoto kwa kua linakua halina unene wa kutosha hivyo sindano inaweza kupitiliza mpaka kwenye mifupa.
karibuni Ze Heby, HERNANDEZ kwa nyongeza
Kwa watoto chini ya miaka mitatu misuli ya tako "gluteus" inakua bado haijadevelop vya kutosha hivyo sehemu nzuri kuchoma sindano ni msuli flani wa paja unaitwa "vastus lateralis" ambao ndo unakua na unene wa kutosha na fat hivyo kuzuia sindano isipitilize na kufikia mifupa , pia baada ya miezi sita hivi sehemu nyingine inayoweza kutumika ni sehemu ya juu ya mkono "deltoid muscle" na hapo ndipo ambapo chanjo nyingi huchomwa mf.tetanus. hivyo tako si salama kwa mtoto kwa kua linakua halina unene wa kutosha hivyo sindano inaweza kupitiliza mpaka kwenye mifupa.
karibuni Ze Heby, HERNANDEZ kwa nyongeza