Kwanini mtu akiamka asubuhi mdomo huwa na harufu mbaya?

Umenikumbusha darasa la 4 somo la Sayansi kimu.
 
Mkuu, kunuka kwa mdomo usababishwa na bakteria wanaomeng'enya na hatimaye kuozesha chakula ndani ya mdomo.

Unapokula chakula kuna kiasi kidogo ambacho ubakia ndani ya mdomo.

Bakteria wanaoishi ndani ya mdomo wanameng'enya mabaki hayo na kuzalisha products ambazo zinatoa harufu yenye kunuka(foul smell).
 
mbna ukipiga mswak kabla ya kulala ucku ukiamka mdomo unanuka?
 
Mbona mimi sinuki mdomo?Wewe kijana unaonekana ni mchafu sana.
 
Good morning tanzania. nna swali kwanini mtu ukiamka usngizin asubuhi mdomo unanuka? nini inasababsha mdomo kunuka asubuhi
Uchafu wa meno! Unakuta 99.9999% ya Watanzania hawajawahi kwenda kusafisha meno kwa madakitari. Na kibaya karibia 99.99999% ya watanzania hawajui jinsi ya kupiga mswaki.
 
mbna ukipiga mswak kabla ya kulala ucku ukiamka mdomo unanuka?
Lazima kutakuwa na kiasi kidogo cha mabaki ya chakula,ni ngumu sana kusafisha mdomo kwa 100%.

Pia ni vyema kupiga mswaki kila baada ya kula chakula na atleast mara 3 kwa siku.

Pia ulaji wa baadhi ya vyakula hasa vya protini mbogamboga mfano wa cabbage na vitunguu uchangia kwa kiasi kikubwa mdomo kunuka baada ya kuvunjwavunjwa na bakteria.
 
Hujapiga mswaki kabla ya kulala. Mimi napiga mswaki two times a day na wala sijawahi kunuka mdomo asubuhi. Lakini nisipopiga mswaki nitanuka. Hivyo Tumia dawa iliyothibitishwa na pia piga mswaki si chini ya dakika 5 kwa kuhakikisha maeneo muhimu umesafisha kwa usahihi, hasa ulimi. Watu wanasugua meno tu na kuacha ulimi ambao ndio source ya kunuka mdomo. Nenda kasafishe kinywa kwa madaktari wa meno atleast mara 2 kwa mwaka. Nadhani gharama zake haizidi 50,000
 
Chakula unachokula usiku,ukikifungia huko tumboni,kinachacha na kugeuka mavi,hivyo harufu inapanda na kutokea mdomoni
 
asante sana
 
asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…