Kwanini mtu akisugua sinia kwenye mchanga meno huwasha?

Joined
Nov 18, 2016
Posts
55
Reaction score
43
Hili limekaa kibaiolojia, kisaikolojia au kidentist zaidi. Je ni kwanini baadhi ya watu huwashwa ama kuumwa na meno iwapo sinia au kitu cha bati kikisuguliwa kwenye mchanga?

Natumai wataalamu humu watatupa mwanga.
 
Mimi hata kukanyaga mchanga napataga shida sana au mtu akitembea kwa kuburuza miguu inanipa shida mnoo.
 
Hili limekaa kibaiolojia, kisaikolojia au kidentist zaidi. Je ni kwanini baadhi ya watu huwashwa ama kuumwa na meno iwapo sinia au kitu cha bati kikisuguliwa kwenye mchanga?

Natumai wataalamu humu watatupa mwanga.

ICHANA njoo huku Comment yako kuna watu wameianzishia thread, labda wewe ndio una majibu.
 
ICHANA said:
Khaaa mbona povu sana

Unajua maana ya kuropokA

Je copyright unajua inatoleweje??
Naona watu mko bize kugombania thread
 
Chunguza njia ya haja kubwa kuna vimchanga vipo.
Hali hiyo ya uwapo wa vimchanga huathiri njia ya kuingizia mlo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…