Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Sasa wewe unataka ibadilike au iweje?Ni mara nyingi hutokea mtu akala chakula fulani na yakatokea mambo mawili mabaya, kutapika au kuharisha ( japo pia sio lazima kutokea).
Mtu inapotokea amekula tu halafu akatapika, mara nyingi husema: YAN NIMEKULA CHAKULA LAKINI NIKAKITOA CHOTE. Na mara nyingi hufuatiwa na mtu huyo kusikia njaa tena na mwili kuwa mchovu.
Hali huwa tofauti kwa mtu aliyeharisha. Huwezi kusikia mtu amesikia njaa baada ya kuharisha, na wala huwezi kumsikia kulalamika kukitoa chakula chote hta kama tumbo lilichafuka baada tu ya kumaliza kula chakula.
[emoji120] [emoji120]Kwa elimu yangu ndogo ni kwamba ukiharisha chakula kinakuwa kimeshameng'enywa na kimeahaondoka kutoka tumbo la chakula na kipo kwenye utumbo ila ukitapika kinakuwa bado hakijameng'enywa na hivyo mwili haujapata cho chote. Maelexo ni mengi ila kwa ufupi ndivyo nielewavyo. Sorry km sijaweza kukuelimisha utakavyo.
[emoji120] [emoji120]Kutapika mara nyingi unatoa chakula ambacho bado hakijameng'enywa bado.So hakijaingizwa kwenye mfumo wa chakula cha ziada kama akiba ya mwili.
Kunya maana yake unatoa uchafu,vitu visivyohitajika mwilini.
Kwani Mkuu mwenzetu ww ukitapika unatapika mavi au chakula ulichokila muda si mrefu? Na je ukienda haja kubwa huwa unaipata ulikula muda c mrefu? Kama ni hivyo unaharaNi mara nyingi hutokea mtu akala chakula fulani na yakatokea mambo mawili mabaya, kutapika au kuharisha ( japo pia sio lazima kutokea).
Mtu inapotokea amekula tu halafu akatapika, mara nyingi husema: YAN NIMEKULA CHAKULA LAKINI NIKAKITOA CHOTE. Na mara nyingi hufuatiwa na mtu huyo kusikia njaa tena na mwili kuwa mchovu.
Hali huwa tofauti kwa mtu aliyeharisha. Huwezi kusikia mtu amesikia njaa baada ya kuharisha, na wala huwezi kumsikia kulalamika kukitoa chakula chote hta kama tumbo lilichafuka baada tu ya kumaliza kula chakula.
Mimi aisee huwa sichukui hata dk 5. Tumbo langu linajibu fasta sn aisee, ndio maana siwezagi kula njiani nikiwa safari na basi, labda private. Na huwa siwezi kula hovyo hovyo mitaani kwa mama ntilie au hata kunywa juice (home made) za kutembezwa kitaa.Kwani Mkuu mwenzetu ww ukitapika unatapika mavi au chakula ulichokila muda si mrefu? Na je ukienda haja kubwa huwa unaipata ulikula muda c mrefu? Kama ni hivyo unahara
Well saidKwa elimu yangu ndogo ni kwamba ukiharisha chakula kinakuwa kimeshameng'enywa na kimeahaondoka kutoka tumbo la chakula na kipo kwenye utumbo ila ukitapika kinakuwa bado hakijameng'enywa na hivyo mwili haujapata cho chote. Maelexo ni mengi ila kwa ufupi ndivyo nielewavyo. Sorry km sijaweza kukuelimisha utakavyo.