Kwanini mtu alipie makato ya kuhamisha fedha wakati muamala umefeli?

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
Unatuma pesa kwenda mtandao mwingine au benki halafu muamala unafeli, pesa uliyokua unatuma inarudishwa kwako, lakini tozo na makato kutoka mtandao wa simu hazirudishwi!

Kwanini pesa ya makato ya mitandao ya simu pamoja na tozo hazirudishwi? Kwanini ukatwe tozo na makato kutoka mtandao wa simu kwa huduma ambayo imefeli? Huu siyo wizi kwa wananchi?
 
Ni fursa kwako.
Anzisha huduma nzuri ambayo itakuwa bora zaidi utapata wateja wengi zaidi.
 
Tena walitakiwa walipe fidia ya usumbufu.
 
Back
Top Bottom