mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Habari waungwana,
Kuna jamaa yangu fulani anatuhumiwa kutenda kosa la kumshambulia mtu ambaye ambaye walizozana kidogo. Shida imekuja kuwa anaendelea kushikiliwa kituo cha Polisi huku suala la kumdhamini likiwa limegonga mwamba. Hii ni kumnyima haki ya msingi jamaa yetu.
Ibara ya 13(6) (b) inasema kuwa mtu hatochukuliwa kuwa mwenye hatia mpaka tuhuma zithibitishwe dhidi yake, sasa kuendelea kumnyima dhamana ndugu yetu mimi naona kama tayari washamhukumu.
Sasa wakuu naomba msaada wa sheria kidogo kuhusu jambo hili.
Pia soma