Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Nasubiri majibu ya haya maswali:
 
Mtu akishasema kakutana na Mungu, au kaongea na Mungu, au kaonyeshwa kitu fulani na Mungu.
Huyo ana tatizo la afya ya akili.
Mi nikimsikia mtu anadai ameongea na Mungu huwa siwezi kumheshimu tena maana anadanganya wazi wazi kabisa.
 
Uislam ni moja kati ya project ya Roman empire iliofanikiwa hasa, Roman empire ndio walikuja kulitengeneza kanisa la Roman Catholic. Mohammed in his ten years of rein kapigana vita 83, yaani kapigana vita 83 and then uislamu inaitwa DINI ya amani, stupid. Anyway, Roman empire walifanikiwa sana kwenye mission yao
 
Unapaswa kufahamu kwamba Apocrypha ilihitaji kikao cha wafuasi wa dini tofauti ili kuondolewa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…