Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Umesema mtume Solomon aliyajua MAJINI ambayo yameelezewa ndani ya hivyo vitabu vya APOKRIFA vyenye kufafanua dini ya kiyahudi na kikristo....

Sasa kwanini tumuachie Muhammad pekee atufafanulie juu ya hao majini aliojifunza kutoka kwa mtume Solomon humo APROKIFANI na kufikia kutuandikia katika Quran pekee na hatuyaoni hayo katika vitabu vya kiyahudi na kikristo......


Hebu nitag website ya hivyo vitabu nami niijue elimu ya MAJINI aliyokuwa nayo mtume Solomon.....
 
Maswali yote hayana mantiki kwa sababu ,Mtume alivumbuliwa miongoni mwa makabila ya waarabu ,enzi za ujahili ( ujinga yaani kukosa elimu) ...Mtume alipata utume akiwa Mkubwa na ilishatabiriwa ndiyo maana hata alipotokq sehemu kwenda nyingine alipokelewa kwa vile taarifa zilishafika .

Alipingwa vikali na watu wa karibu yake , mmoja wapo ni mjomba wake Abuu lahab(baba wa moto ) sio jina lake halisi.

Elimu kuhusu Zama ambazo kazaliwa mtume ,mbona issah na Daudi au Mussa hawakuwa zama moja?

Enzi za ujahili hata wazazi wake walikuwa majahili ,kumbuka uislamu hauwezi kuhukumu mtu mpaka ujumbe wa Mungu uwafikie ,wametumwa mitume ili kufikisha ujumbe .

Ukisoma tu suratul Iqra basi 🤣🤣inajitosheleza na Qur an nzima Mungu amejitambulisha ..Utaona kuna maneno '' Mungu anaseme'' yapo mengine mbalimbali .


Hija pale Meccah ndiyo uthibitisho kwamba uislamu Ulikuwepo ,rejea jeshi la ndovu lilitoka kuvunja kaaba ,mali ile iliachwa na manabii waliopita ambao ni Waislamu... Katika zama zile waliokosa elimu (ujahili) basi wakawa wanatumi lile eneo kufanya ushirikina yaani kulikuwa na masanamu ...Ila Mtume alipewa wahyi wa kwenda kufanya hija na ile sehemu ni mali ya waislamu ... Mwishoe yale masanamu yaliondolewa na mila zote zikaondok mji ule ni wa waislamu kutokana Kaabah .
 
Mtu akishasema kakutana na Mungu, au kaongea na Mungu, au kaonyeshwa kitu fulani na Mungu.
Huyo ana tatizo la afya ya akili.
Hekima ya Mungu Kwa Wanadamu ni Upuuzi.
Na hekima ya Binadamu Kwa Mungu ni Upuuzi.

Wewe endelea Kula kule unapopeleka Mboga, coz Biblia inasema Kila Mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe siku hiyo.
 
Mtume Paulo aliwasema Hawa, alipoingia kwenye Miji Yao, akisema wanaonekana wanapenda habari za Mungu, lakini Mungu wanayemwabudu sio yule Mungu wa Ibrahim....!
 
Achana na hayo maadisi YESU atakulaani kama Hamas
 
Hujajibu swali hata moja. Nasubiri majibu
 
Nasi"
[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. "Nasi" tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

(AL - JINN - 12)
"Nasi" tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.

[ AL - MAA'RIJ - 40 ]
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza

Mkishashiba futari mje kutuambia..hawa wakina nasi ni wakina nani?
 
Ujingani nini?
Kusema uislam ulikuwepo kabla ya mtumeni kumdogosha mtume kuwa sio muasisi wa uislamu
 
Waraq alikuwa mmoja wa wasomi kipindi hicho

Na alipofariki Muhammad alitaka kujiua maana ndiye alikuwa anampa hizo stori
Waraq ibn Nawfal alikuwa ni binamu wa mke wa mtume SAW Khadija....

Kwa hiyo Waraq alishindwa kuwafundisha hayo ndugu zake kina Khadijah na makureishi juu ya hivyo vitabu ilihali wako waliojua kusoma na kuandika kuliko Mtume Muhammad?
 
Nimejibu yote ,wewe unaweza kuniambia Mama yake yesu alikuwa Mkristo ? Zama alizokuj yesu alikuta watu wanafuata dini gani?

Yesu alimkuta Daud, nimekujibu maswali yote kwa vile hayana logic.
Jibu maswali yangu ndipo uulize yako. Au kama unamaswali uliza nitakujibu. Vinginevyo jibu maswali yangu wacha kukimbia
 
Ujingani nini?
Kusema uislam ulikuwepo kabla ya mtumeni kumdogosha mtume kuwa sio muasisi wa uislamu
Sio ujinga sema unaumia 🤣🤣🤣🤣 Uislamu Ulikuwepo tangu dunia inaumbwa ... Ukristo na Mungu wenu hata hamjui Musa kwa sababu Musa alikuwepo kabla ya kuzaliwa Mungu wenu🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…