Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?


Mpaka hapa tuseme nini, je ni nini msingi wa iamni ya kiislam?
 
Swali hili la kutumia akili kama kweli ni mzima kichwani ...Simple imeumbwa na Mungu mkuu...Kama una ushahidi baki lete hoja na mimi nilete hoja.
Mbona haujajibu hayo maswali? Then unakimbilia hoja?
 
Mbona hujasema Qur'an ,imekataa kama Yesu,hakusulubiwa wala kuuliwa.Ni Aprotik ipi hiyo.
 
Umemaliza mjadala.Umeelezea vizuri kabisa.
 
Pole sana kwa kulishwa matango mwitu.
 
Huu ndio ukweli,umeelezea vizuri,watajifanya hawajakuelewa.
 
Akikujibu niite.Hana jibu.
 
Ushuzi mtupu, hivi unajua hats umeandika nini kobazi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…