Kwanini MUHAS hawajafungua dirisha la kutuma maombi directly kwenye website ya chuo kwa upande wa Diploma?

Kwanini MUHAS hawajafungua dirisha la kutuma maombi directly kwenye website ya chuo kwa upande wa Diploma?

Cainan

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
461
Reaction score
540
Habari wakuu ,

hivi mwaka huu kuna yeyote anaye fahamu kwamba kwanini MUHAS upande wa diploma hawajafungua dirisha la kutuma maombi directly kwenye website ya chuo , na kwenye guide book ya nacte mwaka huu wameweka kozi moja tu ya dip in nursing badala ya nne kama siku zote...

Hamna kozi ya dip in Diagnostic Radiography AND THE LIKES.
 
Vyuo vyote vya afya vya serikali vimepewa wanafunzi na tamisemi moja kwa moja...vyuo vichache vyenye nafasi unaomba thrue nacte
 
Kwa sasa vyuo vikuu vyote vya serikali vimezuiwa kudahili diploma..hivyo diploma sasa itasimamiwa na wizara ya afya chini ya nacte..

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom