Pole sana, lakini tambua kuwa ndoa ni ya wawili wa tatu ni kikaragosi.Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri,na tuna usafiri wetu ,kwa kifupi maisha yetu si haba .cha kushangaza kuhusu mume wangu hapendi,kuona ndugu zangu kuja kwetu tulipo,either kwa kukaa au kusalimia,sijawahi hata muelewa ni kwa nini ,kuna siku nilimpa taarifa mdogo wangu wa kike na wakiume wanakuja nashangaa SURA yake ilibadilika ,na si mara moja ila kwa upande wa kwao huwa wanakuja bila hata taarifa nikitoka kibaruani huwa nawakuta tu yaani nabaki nashangaa kwa nini iwe hivyo je ? Sipaswi mimi kutembelewa na ndugu zangu ! Au nakosea wapi mimi wenzagu ipoje kwenu huko ? Aliuza suzy
Inashangaza sana hii hali kutokea kwa mwanaume mara nyingi wanawake ndo huwa na tabia hizo. Kiasili wanaume ni wakarimu sana na pia huwa hatujali kuishi na watu kwenye familia zetuHili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri,na tuna usafiri wetu ,kwa kifupi maisha yetu si haba .cha kushangaza kuhusu mume wangu hapendi,kuona ndugu zangu kuja kwetu tulipo,either kwa kukaa au kusalimia,sijawahi hata muelewa ni kwa nini ,kuna siku nilimpa taarifa mdogo wangu wa kike na wakiume wanakuja nashangaa SURA yake ilibadilika ,na si mara moja ila kwa upande wa kwao huwa wanakuja bila hata taarifa nikitoka kibaruani huwa nawakuta tu yaani nabaki nashangaa kwa nini iwe hivyo je ? Sipaswi mimi kutembelewa na ndugu zangu ! Au nakosea wapi mimi wenzagu ipoje kwenu huko ? Aliuza suzy
Solution nnUnamjulisha wa nini na ushajua hapendi.
Anasema hata akimuuliza majibu hana ni kimya tuPole sana, lakini tambua kuwa ndoa ni ya wawili wa tatu ni kikaragosi.
Ningependa pia nimsikie Mme wako anasemaje kabla sijatoa hukumu.