Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

Mumeo naye haishiwi maswaibu
Mara akubake
Mara achukie ndugu
Halahala asikulazimishe uandamane 7/7
Yaani hata mie sielewi which is which twende tufanye investigations tujue hebu
 
mimi kitambi changu jinsi kilivyo kikubwa hadi ukifika muda wa shoo inabidi nisogeze ile minyama ili mashine iweze kusimama vizuri.

u
Oh kemea pepo hilo just oa mkuu
 
Hawapendi ndugu zako? Kivipi? Ulitaka awapendeje yaani?

Sidhani kama tatizo ni ndugu kuna kila dalili kwamba mumeo HANA MAPENZI NA WEWE,

Mwenye mapenzi nawe hatakuwa na shida na ndugu zako, na hatakama atakuwa na shida lakini kwa kuwa ana mapenzi na wewe (Hii inajumuisha na kukuheshimu, kukujali) atakuwa mkweli kwa kukuambia nini kinamsumbua

Kuna kitu mumeo kinamkera kuhusu wewe na siku ukikipatia majibu uvumbuzi utashangaa, ni yeye ndiye atakayewatafuta hao ndugu zako
 
Kama hajakuelewa hapa basi adai taraka chao. Atakua hafai kua mke
 
HIYO 3 nadhan n ndyo hasa
 
Inshu ni Moja tu utakuta ndugu zako ni watu wasio na elimu na pia hawana kipato Cha kuheshimika iyo ipo kwa wote hata Mimi dada yangu alipoolewa washe wangu alikuwa ananiona sio wamana ila after 10 years nikawa vizuri sana hata kwenda kwake yeye ndio akawa ananikaribisha sana inshu PESA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…