Kwanini Muumini akiomba gari Kanisani anaombewa ila Mchungaji akiomba gari anachangiwa?

Kama utoi sadaka hauzikwi?

Kweli nyumba za ibada ni kuzikana, Imani yako ndio itakayokuponya!
Acha kuchafua nyumba za ibada hasa wakati huu tukielekea kusheherekea kufufuka kwa Kristo.

Nimeshakuonya ila ukishupaza shingo......
 
We Jamaa unapost Sana pumba hauna Elimu yoyote ubabaishaji nimefatilia Post zako wewe dishi limecheza
 
Kama utoi sadaka hauzikwi?

Kweli nyumba za ibada ni kuzikana, Imani yako ndio itakayokuponya!

Nimemkumbuka Shekhe mmoja mahiri sana kwenye msikiti wa jirani na kwangu. Alipoanza kuhudumia pale palikua padogo, vifaa vichache, basi yule Shekhe kwa sadaka chache na hamasa aliyokua akiwapa waumini akatanua msikiti ukawa mkubwa, akaweka mabomba, Tank ya maji na kuhakikisha usafi wa nyumba ya ibada.
Baada ya pale akatokea muumini mmoja akasema zaidi ya miaka 20 msikiti haujakuwa na maendeleo na Kia kazi iliyofanyika akaamua kumpa Shekhe zawadi ya gari...... weweeeee waliinuka wazee wachache wakaanzisha vita na Shekhe hadi wakamhamisha

Kwetu sisi wakristo ili linatukumbusha neno MUNGU alilotuambia kwamba wapo MAKRISTO NA MANABII WA UONGO. Tujihadhari nao
 
Ya waja ni mengi sana yakupasa kutafakar
 
We Jamaa unapost Sana pumba hauna Elimu yoyote ubabaishaji nimefatilia Post zako wewe dishi limecheza
Ngoja nikujibu kwa kujifurahisha. Ona unavyotoa macho kama mjusi. Nakuona we mwenye Elimu. unamshangaa kichaa we nawe kichaa
 
Nimemkumbuka Shekhe mmoja mahiri sana kwenye msikiti wa jirani na kwangu. Alipoanza kuhudumia pale palikua padogo, vifaa vichache, basi yule Shekhe kwa sadaka chache na hamasa aliyokua akiwapa waumini akatanua msikiti ukawa mkubwa, akaweka mabomba, Tank ya maji na kuhakikisha usafi wa nyumba ya ibada.
Baada ya pale akatokea muumini mmoja akasema zaidi ya miaka 20 msikiti haujakuwa na maendeleo na Kia kazi iliyofanyika akaamua kumpa Shekhe zawadi ya gari...... weweeeee waliinuka wazee wachache wakaanzisha vita na Shekhe hadi wakamhamisha

Kwetu sisi wakristo ili linatukumbusha neno MUNGU alilotuambia kwamba wapo MAKRISTO NA MANABII WA UONGO. Tujihadhari nao
Jibu zuri
 
Back
Top Bottom