kwanini muunganiko wa makanisa wasiwe na mitihani yao ya kitaifa?

kwanini muunganiko wa makanisa wasiwe na mitihani yao ya kitaifa?

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,204
Bado najiuliza .km ubora wa elimu upo chini hivi?halafu kuna siasa na dini ktk matokeo,na uimara wa taasisi maalumu unategemea uadilifu na msimamo wa mtu,soon watahiniwa watatapata matokeo kutegemea dini,siasa na mambo mengine.mwishowe hata wale wanaoweza hawatajulikana.Nadhani ni muda muafaka zile mock ziwe imara ili mashirika ya dini yenye ubora yawe pata watahiniwa wao na wawape vyeti ili ktk ajira waajiri wawezechagua wasomi na waliochaguliwa.kutemea na malengo yao kiutendaji..TAYARI USANII UNATISHA..After 3 yrs ktk soko huria kutakuwa na nidhamu.kila mhitimu ataulizwa shule aliyosoma na cheti cha taasisi km hazina kiwango ajikomboe ktk interview,au awe cheap labour,au akabebwe na mitandao serikalini.Tutabaki na serikali yenye makundi na kubebana na soko huria linalotaka ufanisi.T
 
Duniani kwanza kabisa hakuna muungano wa makanisa. Waafrika tutajidanganya tuu kujifanya kwamba wakatoliki na waprotestant wanaweza kuungana katika ukiristo. Soma historia ya Ulaya utaelewa ninachokisema. Kwa taarifa yako, Northern Ireland Wakatoliki na Wa-protestant wanapigana vita tangu karne ya 16 na mpaka leo hakuna suluu.

Jee unajua kwamba mtoto wa kifalme wa Uingereza anakatazwa kisheria kuoa au kuolewa na catholic?

Jee unajua kwamba tangu Uingereza iwe nchi ya ki-protestant karne ya 16; bunge la uingereza limewahi kuwa na spika mkatoliki mmoja tuu? Michael Martin, na tena hakuweza kumaliza muda wake wakamtoa mkuku?

Swala la umoja wa kikristo hilo "will remain but a fleeting illusion, to be pursued (only in Africa), but never attained"

Kuhusu kuwa na mitihani wa wakiristo peke yao na wahindi peke yao na waislamu peke yao, hili siyo jambo baya. Tena hili litaondoa dhulma haraka sana kwa sababu wakiristo watatahiniwa na wakiristo wenzao na waislamu nao watatahiniwa na waislamu wenzao.
 
Udini, ukosefu wa weledi na hoja dhaifu. Baadae utasema mahakama ya kikristo, masoko, bus stands, mill, minada. Upuupuu puu!
 
Are you nuts mkuu..!? au ndo umeshaianza weekend..!?? acha udini unless umetumwa...
 
Una matatizo binafsi ya kimtazamo. Competition inaleta ubora wa ziada. Ngoja tuendelee kupeana changamoto hapa!
 
Bado najiuliza .km ubora wa elimu upo chini hivi?halafu kuna siasa na dini ktk matokeo,na uimara wa taasisi maalumu unategemea uadilifu na msimamo wa mtu,soon watahiniwa watatapata matokeo kutegemea dini,siasa na mambo mengine.mwishowe hata wale wanaoweza hawatajulikana.Nadhani ni muda muafaka zile mock ziwe imara ili mashirika ya dini yenye ubora yawe pata watahiniwa wao na wawape vyeti ili ktk ajira waajiri wawezechagua wasomi na waliochaguliwa.kutemea na malengo yao kiutendaji..TAYARI USANII UNATISHA..After 3 yrs ktk soko huria kutakuwa na nidhamu.kila mhitimu ataulizwa shule aliyosoma na cheti cha taasisi km hazina kiwango ajikomboe ktk interview,au awe cheap labour,au akabebwe na mitandao serikalini.Tutabaki na serikali yenye makundi na kubebana na soko huria linalotaka ufanisi.T

Huu udini huu khaa...Halafu umeandika vibaya mno...Hata sielewi sentensi mpya imeanzia wapi...Hebu jaribu ku-edit hii post yako...
 
Duniani kwanza kabisa hakuna muungano wa makanisa. Waafrika tutajidanganya tuu kujifanya kwamba wakatoliki na waprotestant wanaweza kuungana katika ukiristo. Soma historia ya Ulaya utaelewa ninachokisema. Kwa taarifa yako, Northern Ireland Wakatoliki na Wa-protestant wanapigana vita tangu karne ya 16 na mpaka leo hakuna suluu.

Jee unajua kwamba mtoto wa kifalme wa Uingereza anakatazwa kisheria kuoa au kuolewa na catholic?

Jee unajua kwamba tangu Uingereza iwe nchi ya ki-protestant karne ya 16; bunge la uingereza limewahi kuwa na spika mkatoliki mmoja tuu? Michael Martin, na tena hakuweza kumaliza muda wake wakamtoa mkuku?

Swala la umoja wa kikristo hilo "will remain but a fleeting illusion, to be pursued (only in Africa), but never attained"

Kuhusu kuwa na mitihani wa wakiristo peke yao na wahindi peke yao na waislamu peke yao, hili siyo jambo baya. Tena hili litaondoa dhulma haraka sana kwa sababu wakiristo watatahiniwa na wakiristo wenzao na waislamu nao watatahiniwa na waislamu wenzao.

Halafu mwisho wa siku kuwe na makazi ya wakristo, mahakama, maduka, ofisi, migahawa, njia, mikoa, lugha, mwendo...!!!!!!!! Au..
 
Halafu mwisho wa siku kuwe na makazi ya wakristo, mahakama, maduka, ofisi, migahawa, njia, mikoa, lugha, mwendo...!!!!!!!! Au..

pombe, sigara, daladala e.t.c
 
Utumbo mtupu...
Sametime siyo lazma kuanzisha topic!
 
Nicholas...natamani hata hata kulia...uuuwiiiii,maweeeee..
unaongea mambo ya hovyooo..mbafu kabisa...
Nenda kasome story ya Lebanon..walikuwa na akili za zako...wako wapi leo...??
 
Mi naona mitihani ya dini isihusiane na necta,yaani serekali ijitoe kwenye usimamizi wa mitihani ya dini pia mitihani ya dini isijumuhishwe kwenye alama za ufaulu wa mtu toka necta,ufaulu utambuliwe na taasisi husika(dini zenyewe)
 
Tehe tehe,nilijua kuna watakukuja juu bila kufikiri.Na wamekuwa wengi sana ktk matusi na kebehi.mkirudia mtaona sijakataa mtihani wa taifa ila nimepropose pawe na mitihani yao inayokwenda parallel.time inakuja mitihani ya bongo itakuwa ya hovyo sana.ktk soko huria waajiri watapunguza gharama za kuinterview watu na kujikuta wana makapi.

Mnashangaa nini wakati wana taratibu zao za mchujo kila mwaka na mwishowe wanaondoa vilaza?
Mnashangaa nini wakati shule zilikuwa zinatoa leaving certs?kwanini wasitoe na academic certs zao kwa pamoja na za serikali?
Watz wengi wanafanana na wabunge wa ccm aptitude tests zitawasumbua sana.
Subirini wanatoka mama Ndalichako atoke muone soko la ajira litakavyojaa makapi ya elimu.hamjaona watu wanaomba kazi na kupata kwanza hala wana brush siku 3 wanaenda anza kazi?mi nimeona wengi sana tena wana jeuri ya kuwaambia wanaofundisha hivyo achana navyo.
 
Tehe tehe,nilijua kuna watakukuja juu bila kufikiri.Na wamekuwa wengi sana ktk matusi na kebehi.mkirudia mtaona sijakataa mtihani wa taifa ila nimepropose pawe na mitihani yao inayokwenda parallel.time inakuja mitihani ya bongo itakuwa ya hovyo sana.ktk soko huria waajiri watapunguza gharama za kuinterview watu na kujikuta wana makapi.

Mnashangaa nini wakati wana taratibu zao za mchujo kila mwaka na mwishowe wanaondoa vilaza?
Mnashangaa nini wakati shule zilikuwa zinatoa leaving certs?kwanini wasitoe na academic certs zao kwa pamoja na za serikali?
Watz wengi wanafanana na wabunge wa ccm aptitude tests zitawasumbua sana.
Subirini wanatoka mama Ndalichako atoke muone soko la ajira litakavyojaa makapi ya elimu.hamjaona watu wanaomba ka9i na kupata kwanza hala wana brush siku 3 wanaenda anza kazi?mi nimeona wengi sana tena wana jeusi ya kuwaa wanaofundisha hivyo achana navyo.

Imetulia Mkuu, endelea kutoa weleedi watu panue wigo wa mawazo mpaka nje ya kapu
 
Upo sawa kabisa huyu m2 nahic ame2mwa humu jf kufanya hvyo ni kuendelea kuchochea udini 2.
Unafiki wa wabongo na papara za kurukia vitu ndio roots za ujinga wa wabongo.mnala na kuishi ukabila na udini. Bado nakimbia ukweli mnavyoanika chupi chini ya uvungu mnapa magonjwa.mnaita chumvi dawa ya mboga.hakuna udini mtu kupata vyeti viwili.siku mitihani inavuja mwajiri anaweza pata reference.
Mashirika ya dini yana hakika ya kuwepo muda mrefu tofauti na shule ya mtu binafsi ambaye akifa anakufa na shule na kumbukumbu zote.
Acheni unafiki international schools zina fanya hawachukui wabongo zaidi ya kiswahili na sports.kuna halali banks na supermarkets hamsemi udini.,nyie ndio mmegandisha ubongo hadi kkaua mchungaji kwa issue ya kuchinja bila kujua dunia ya leo watu wanahitaji specifics na customization. Na kunakuna akina nyie mnakwenda na chochote.waajiri nao wanahitaji watu kihivyo kutokana na target clients.basi ondoeni na seminary zinazoandaa watawa na viongozi wa dini.
Acheni kuchochea udini kwa kujifanya mnauzuib.
 
Upo sawa kabisa huyu m2 nahic ame2mwa humu jf kufanya hvyo ni kuendelea kuchochea udini 2.
Unafiki + ujinga utawaua pamoja na vizazi vyenu.mmeongezewa homoni zaidi au nini?hamna patience kama magamba pale mjengoni,mna walimu wa namna yako serikali ya namna yako,badala ya kujadili hoja najadili watu,mnafanya udini kwa kuchukua upande wa kulaumu.ndio maana blacks wanalia kuwa ni victims rasism huku wao ndio rasist wa kutupa.unafiki na ujinga unapofusha.hembu jiulize utaamini vipi weledi wa wanafinzi wa bongo wanaofulu bila kujua kusoma na kuandika?utafanya interview ngapi ili upate mfanyakazi ktk utalii anayejua hata ramani ya dunia na mambo madogo kuhusu tamaduni na hali ya hewa ya maeneo ya dunia ?Achilia mbali paparazi km zako,na miiko ya kijinga ya udini km kwako huku ukiulinda udini.
Utavlizwa na mtu hueleze halali banks na supermakets,au uchinjaji na baadae kwaninini wasichinje na wanalishwa alichochinja mwingine badaya kujibu utajifanya victim na kushutumu wengine.
Ishu ya vyeti vxa upande mwingine ni kuweka viwango.na kuwapa waajiri picture na kupunguza gharama za recruitments.hata club za ulaya si kuwa hazitaki ajiri wachezaji wa bongo,ika hata wakipiga kambi hataambulia cha maana,na wakipata ndio0akina bobani,
 
Makanisa yafanye hima hima pawe na mitihani yao...hawa failures ndio wanaoingi aktk huu ugaidi ktk mishemishe zao kununua As
 
Nicholas...natamani hata hata kulia...uuuwiiiii,maweeeee..
unaongea mambo ya hovyooo..mbafu kabisa...
Nenda kasome story ya Lebanon..walikuwa na akili za zako...wako wapi leo...??

Endeleeni kusubiri mkae kundi moja na hao wasiojua kusoma, mtazisikia ajira ktk bomba, hakuna mwajiri atapoteza mamilioni kuchuja watu elfo 30 ili apate watu 3 wenye kuweza kazi.

Ila pakiwa na bodi fulani fulani zenye heshima ktk ubora wa elimu na umakini wkausahihisha..waajiri wanaweza short list haraka.Na hii haitabgua watu kwani ktk shule zao hata wasio na dini si watakuwepo?Au umesahau hilo kwa papara?
 
Back
Top Bottom