Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Nimejadili sababu za kibiashara na za kisayansi ya akili na saikolojia ya binadamu. Pamoja na ombi hili naomba kukiri nimeanzisha thread hii kutokana na mjadala nilio taja awali.
Nimejaribu pia kugusia kwanini wanafunzi kule Mbeya walichoma moto shule sababu ya kuzuiwa kutumia simu shuleni.
Nimegusia kifupi kwanini Makonda alishukiwa na washika uchumi wa dunia sababu ya kujaribu kuwa mwalimu wa maadili na nidhamu ya wana Dair Salama kwa kuingilia mambo ya ngono, na biashara ya ngono hasa za jinsia moja.
Soko la biashara yoyote ni kucheza na saikolojia ya walaji. Walaji wa muziki wa sasa wanataka kusikia kuhusu ngono dunia nzima. That is what the youth and old ones craves. Usione wakubwa wakiwa majukwaani wanakataza sanaa zenye maudhui ya ngono, hakika nakuambia unaweza kuwashitukiza mle mjengoni kukagua simu na computer zao ukashangaa kukuta video za ngono karibu kwa 85% ya watu wote mjengoni au hapo ofisini kwenu.
Sisi watu wa IT tunaona mengi kwenye computer za watu maofisini au zao binafsi, wakifuta unakuta kwenye history zipo. Hii kitu haizuiliki sababu imeshakuwa ni tabia ya jamii zetu zote. Kuna namna ya kisayansi ya kujenga hizi tabia (habits) za utegemezi na uraibu wa vitu hata vya ajabu visivyo kuwa na manufaa kwetu.
Habit loop:
Cue = (sex explicit/porn content) ----> routine = (watch or listern/talk about sex) -----> reward = (feels happy / get aphrodisiac satisfaction /get to know new sex styles).
Hii habit loop inatengeneza addiction ya kutaka tena na tena vitu hivyo inafikia hatua ya kuwa addictions kama madawa ya kulevya, pombe au punyeto.
Ndio maana video zenye warembo nusu uchi na maumbo ya kuhamasisha zinavutia watazamaji (viewers), na wafuatiliaji (followers) wengi kwenye mitandao ya kijamii na kuingiza pesa nyingi. Zinasababisha watu wanunue vifurushi vya internet kwa lengo la kuangalia na kusikia mambo a kuvutia hisia zao. Hapo hakuna wazee wala watoto wa siku hizi, wote wana 'crave' mambo ya ngono(porn) hasa yale mambo ya kula jicho na kusafisha mitaro.
Hiyo ndio marketing strategy ambayo kuna wasomi huko Havard, Stanford na kwingineko wamefanya tafiti ya kuvutia walaji/wateja wa bidhaa zao miaka na miaka kwa mamilioni ya dola. Wakaja na majibu kama haya. Just create addiction by making it a habit and let it stick forever into their basal ganglia in the brain. They will do it effortlessly without thinking, They will crave for it. If they don't get it they will become agitated, angry and frustrated. Ndio maana watoto wa shule kule Mbeya waliamua kuchoma moto shule sababu ya kuzuiwa kutumia simu shuleni.
Ni addiction ile!
Yale ni madhara ya vita vya kusaka masoko kwa gharama ya saikolojia ya watumiaji. Ile haikuwa akili yao ya kawaida, wale ni wahanga tu wa majaribio ya kisayansi sawa na nyani au panya wa maabara za neuroscience na sakolojia huko kwenye lab za Havard.
Kama vile wewe(najizungumzia na mimi pia) haukauki humu mitandaoni au haukai mbali na simu yako au computer yako, watu wamekulazimisha hiyo tabia bila kujua imekuwa ni uraibu (addiction) kwako. Jiulize unaweza kuacha kutumia hivi vifaa mwezi mzima kama hauumwi?
Kwenye sanaa ya muziki na filamu tumetengenezewa kwa lazima tabia ya kutaka kusikia na kuona kuhusu ngono kila wakati tunao hitaji burudani ya sanaa au muda wa kujivinjari starehe tofauti tofauti.
Hamu kubwa ya kutaka kusikia, kuona na kujaribu mambo ya ngono tu imetengenezwa makusudi kupitia teknolojia za nchi zilizo endelea ambazo zimefaidika sana kibiashara kutoka na kujenga tabia za uraibu (addiction) za vitu mablimbali.
Jambo hili halikuja kwa bahati mbaya wala kwa mabadiliko ya homoni au ya kijenetiki na vinasaba. Tumetengenezewa tabia fulani bila kujijua.
Ndio maana siku hizi matukio ya watu kula ndogo yanaongezeka sana, tena yamekuwa ufahari, hutuwezi kuzuia hii kitu na wala hakuna nchi inaweza kuzuia as long as hii inazalisha mabilioni kama si matrilioni ya dola kwa kwa siku. Umeona walivyo mshukia Makonda alipo jaribu kuzia haya makitu ya kulana jicho a.k.a ndogo, a.k.a mtandao pendwa? Makonda alikuwa anajaribu kubadili tabia(habit) ambayo ingesaidia kuondoa uraibu flani, bila yeye kujua alikuwa anataka kuathiri biashara za matrilioni za makampuni makubwa huko duniani.
Think it this way, Tanzania has got a population of 50M people in which about 35M(not exact true figures) ni wateja wa hizi biashara zao kupitia mitandao n.k. Kuna vialanishi, condom, midoli, ARV, porn videos, Viagra, nguo za kuhamasisha ngono, membership fee za vyama kama vya LGBTQ, kemikali za kuondoa manywele(mavuz*) kwenye ndogo, operesheni za kubadili jinsia, kupandikiza mimba kwa surrogate hii kwa wasagaji wanaotaka mtoto, mtaenda kuhudhuria makongamano ya hivyo vyama huko kwao, e.t.c.
Sasa ndio muelewe kwanini siku hizi kila Hollywood movie, series, opera soaps wanachomekea mambo ya ushoga, wanataka mjenge tabia (habit) ya kuona hiyo ni kawaida kwenda sodoma au wadada kupigana deki wenyewe kwa wenyewe ili waendeleze biashara zao, wala sio sababu ya mambo ya dini ya kishetani na freemasons.
Nirudi kwenye mada yetu ya muziki kwa maoni au ushauri ufuatao kisha tuendelee na mjadala kwenye mambo mengine:
Tuwaache vijana watengeneze pesa kwenye muziki unaopendwa, no one wants to create a dud product!
Tunajaribu kupigana vita ambayo nchi tajiri imewashinda nasisi itatushinda tu, ningependekeza taasisi za kidini ndio zichukue ajenda ya kupambana na haya mambo ya kimaadili huko kwenye nyumba za ibada na mafundisho yao.
Nimechagua taasisi za dini sababu hizi zinaanza kujenga ushawishi wa kitabia kuanzia ngazi ya chini kabisa katika jamii, yaani ngazi ya kifamiia.
Pia jambo likiingizwa kwenye mambo ya kiimani huwa linakuwa na nguvu kubwa sana kwa waumini wa imani husika.
Tukitaka kufanikiwa kwenye hii vita kiserikali basi turudi wakati wa Nyerere au nyuma zaidi kwa kuzuia TV za nje, mitandao (internet) yaani tujitenge na dunia kama Korea ya Kaskazini wanavyo fanya.
Je inawezekana?
Disclaimer:
Mimi siungi mkono kuruhusu maudhui ya ngono kwa watoto, wala ngono kinyume na maumbile. Sehemu kubwa ya mjadala kwenye kipengele cha tabia(habit creation) kimetokana na mawazo na tafiti zilizo jadiliwa kwenye kitabu cha THE POWER OF HABIT: Why We Do What We Do in Life and Business.
By Charles Duigg.
Hicho ni kitabu bora kabisa kama unataka kujifunza Marketing Science, kujenga brand ya bidhaa yoyote au kujenga tabia nzuri au kuacha tabia flani mbaya, pia kusaidia malezi ya watoto au mtu mwenye matatizo ya kiafya ya ubongo kuweza kuishi vizuri katika mazingira ya kupoteza kumbukumbu. Pia ni kitabu bora kama unataka kutatua tatizo lolote la kijamii au kisiasa kwa kucheza na saikolojia ya binadamu.
Mwisho kabisa siku moja nitakuja kuandika ushauri au maoni yangu namna gani serikali yetu hasa wizara ya elimu inaweza kuandaa mitaala mizuri ya kufundisha kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha sita na kuwezesha elimu yetu kuzalisha wavumbuzi wa teknolojia mpya badala ya mfumo huu wa sasa au wa zamani ulio zalisha wasomi ambao hawawezi kufanya tafiti za uvumbuzi wa kisayansi au teknolojia mpya kwenye nyanja mbali mbali. Tafiti zenye kutatua changamoto halisi zilizopo kwenye jamii, sio tafiti za kupatia vyeti na jina lakini hazina impact kwa jamii.
Tafiti za kupatia vyeti na hadhi ya usomi, au jina kwenye jamii zimetuangusha sana waafrika hasa watanzania.
Tafiti za kupata wanazuoni ambao wakikosa kuajiriwa na serikali wanalia wataishije. Wengine hawawezi kusimama kwenye ajira za sekta binafsi na kushawishi wamiliki wa taasisi hizo kwa mafaniko ya utendaji wao na ubunifu wa hali ya juu.
Nitakuja kufanya uhariri wa makosa ya uandikaji (typo errors) na makosa mengine.