Kwanini mwaka huu JF Hapakuwa na upigaji wa kura kwa mwanajf Bora

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Miaka ya nyuma mpaka kura tulipiga nimeshangaa mabadiliko hakuna Tena thread ya hivyo nikasikitika mwaka 2018 unaishaje kinyonge
Ila Mimi nagawa zangu.brand zangu Bora kabisa kwa hapa jf
1.mshana.bado yupo katika ushindi wa mtu ambaye mabandiko yake Yana influence kubwa katika maisha yangu
2.kikulachochako.huyu pia Ni mshindi kipengele Cha mahusiano na ndoa.kuna vitu amewahi kuvisema vinachochea sana fikra zangu
3.MSAGA SUMU.bado anakimbiza kwa kufanya maajabu na Sasa tuko naye katika msimamo mmoja taifa moja.msaga sumu kipengele Cha ufahamu umekishinda
4.kwa upande wa wanawake Kuna huyu wa kuitwa......bado NAENDELEA kuwaga tuzo
Ni kwa hisani ya jack Daniel.
 
5.kuna kisandu junior.huyu ujue nako anachekesha Sana kashinda kwenye mwana jf Bora kwenye comedy.
 
Bwana Max hela za uchaguzi kazipeleka kwa ajili ya ununuzi wa ndege mpya na ujenzi wa bwawa la Stieger's Gorge
 
6.best bad commenter anachukua kanungila karim.huyu mtoto chizi wakuu.we unaona raha kutudanganya sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…