fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,617 Reaction score 8,244 Apr 21, 2024 #1 Jana tumeona kwanini Mwamnyeto huwekwa benchi na Gamondi, ni mtu wa kukaba kwa macho tu.
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Apr 21, 2024 #2 fimboyaasali said: jana tumeona kwanini mwamnyeto huwekwa benchi na gamondi,ni mtu wa kukabiabkwa macho tu Click to expand... Soma tena utufafanulie ulichomaanisha.
fimboyaasali said: jana tumeona kwanini mwamnyeto huwekwa benchi na gamondi,ni mtu wa kukabiabkwa macho tu Click to expand... Soma tena utufafanulie ulichomaanisha.
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,617 Reaction score 8,244 Apr 21, 2024 Thread starter #3 Bila bila said: Soma tena utufafanulie ulichomaanisha. Click to expand... Ni kwamba Mwamnyeto ana hufanya makosa mengi sana
Bila bila said: Soma tena utufafanulie ulichomaanisha. Click to expand... Ni kwamba Mwamnyeto ana hufanya makosa mengi sana
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Apr 21, 2024 #4 Makolo si ndio mnamtaka
S Somi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 3,921 Reaction score 4,858 Apr 21, 2024 #5 Mwamnyeto haku cover nafasi baada ya Yao kutoka matokeo yake Fred akafunga, na ni mzito sana .