TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Nimeona topic hii kwa page ya jamaa anajiita Dr Williams nikaswma ngoja wajuzi tuipime, maana ndugu zetu wameumia mkoani Kilimanjaro.
Twende pamoja👇
Watanzania tarehe 1 ni namba iliyobeba maagano makubwa, siwafichi kwa kitendo alichokifanya Mwamposa ana nguvu ya kufunika viongozi wa serikali macho na akili wasilifatilie suala hili kwa serous kama watanzania hawatakemea haya mambo ni yakutisha sana.
Tukio limetokea tarehe 1 mwezi 2 ilikuwa kabla haijavuka saa 6 kuingia tarehe 2 haya mambo ni yakutisha sana.
Kuna watu watachukulia swala hili ni kama ajari ya kawaida Watanzania miujiza na keki anazotoa mwamposa hazitoki Bure labda nifichue kulikuwa kuna watu wanafia kwenye makanisa bila kutangazwa ila hili Mungu kaamua kulianika waziwazi maana umefika muda Watanzania hasa wanawake wakombolewe na kinywa cha nyoka wa aina hii.
Haya mambo ni ya kutisha.
Watanzania zile keki ambazo Mwamposa alikuwa anawapa waumini wake ni sawa na kufanya maagano ambayo ni sawa na kuumega mkate ila wao wanafanya keki kama meza ya bwana ambayo ndani yake uwe umebatizwa au haujabatizwa hadi watoto wadogo wanapokula keki au kukanyaga mafuta akili zote huwa zinachukuliwa na kufichwa mahali nitapahifadhi kwa sasa.
Na ukichukua hiyo keki au mafuta hayo ukampa mtu asiyekuwa na imani huvutwa na nguvu ya keki au mafuta hayo hadi kanisani hapo, hivyo wote wanaosalia hapo hata useme nini kuja kujitambua au kuchomoka hapo ni vigumu sana maana ufahamu wake umefichwa mahali baada ya kukanyaga mafuta au kula keki.
Haya mambo ni ya kutisha.
Watanzania ili nguvu ziongezeke, Mwamposa lazima awapande/alale na wanawake ndio maana anajiita BULLDOZER ambapo akishiriki ngono na wanawake 20 zile nguvu zinasambaa kuwashika jinsia za wanawake maelfu kwa maelfu kwenye makanisa yake haya.
Mambo yote nayajua na kama atabisha mimi ninao ushahidi mkubwa sana na ukweli ni kwamba wanawake wanaolala na Mwamposa hawawezi kusema maana ufahamu umefungwa ubongo na ufahamu.
Haya mambo ni ya kutisha.
Na.
Dr. William Mtanzania Wa USA America