Kwanini mwana-CHADEMA anapohamia CCM ni lazima aombe uteuzi hadharani? Kwani UVCCM haiandai viongozi tena?

Sasa mbona wenzenu wakitoka upinzani kuja huko wanalamba teuzi tu? Viongozi wenu wanawaonaje hivi?
 
Uvccm inaandaa magaidi kama Sabaya na Hamza
 

Hiyo ni historia. Johnthebaptist anahuzunika kwamba siku hizi vijana toka CDM ndio wanazidi kuwa kivutio na wanakabidhiwa nyadhfa chapchap ndani ya serikali ya CCM.

Hao kina Gambo, ole millya ni habari ya jana. Modeli kama Lijualikali ndio habari ya mjini siku hizi.
 
Uvccm inatumika kwenye magumashi ya utekaji , vyeo wanapewa wa Chadema , hii ndio sababu wewe unaendelea kufanya usafi hapo lumumba , tena siyo chadema tu , Cuf hata vyama duni kama TLP wananunuliwa , mfano ni mtatiro na Mrema
 
Popomalism lingine hili hapa ..zerolism
 
Uvccm inatumika kwenye magumashi ya utekaji , vyeo wanapewa wa Chadema , hii ndio sababu wewe unaendelea kufanya usafi hapo lumumba , tena siyo chadema tu , Cuf hata vyama duni kama TLP wananunuliwa , mfano ni mtatiro na Mrema
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Generalization fallacy.....

Ulivyo mjinga unataka CCM isiwe na vijana wa kaliba na tabia tofauti.....

Ulivyo mjinga unaniaminisha kuwa CHADEMA haina vijana wenye kaliba na tabia tofauti......

Ionee aibu nafsi yako 🤣🤣
 
Kwa mifano ya akina Makonda,Sabaya,Mnyeti,Byakanwa,Hamza,Shaka,Kihongosi,Kingai etc. Nani ataendelea kuwaamini UVCCM? NI kikundi fulani cha kusifia,kulamba miguu,kutosha watu,kupokea maelekezo kutoka juu nk. Hawana hoja tena.
Viongozi wa CCM wataendelea kuwaamini UVCCM kwa sababu ni zai lao, Polepole yule wa nje ya CCM siye huyu mufilisi wa ndani ya CCM, ukijiunga CCM unapitishwa kwenye limashine la mchina kuufuta ubongo.
 
Fact ni kwamba chadema ni chama ambacho kinamisingi mizuri ya kuandaa viongozi na kuheshimiana, iko siku hao wanao wapokea watakuja kuwa viongoz wa taifa hil
 
Hivi UVCCM ya sasa kuna watu " Wanaojua" kama Zitto Kabwe?
 
Nimeona jana katika wabunge wote wa Arusha aliyeongea kwa hoja zenye mashiko ni Paresso wengine wote ni kuomba na kuabudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…